Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Hapa alaumiwe nani?
amezidiwa na mihamu hadi anasahau kuchunga mali zake kikamilifualaumiwe msichana mwenye nguo nyeusi,haja-concentrate kwenye jambo analofanya ndo maana anaibiwa
nasikia eti wajinga ndio waliwaohuyo mwanaume na huyo mwanamke mwenye nyekundu, wote ni wa kulaumiwa maana hawajamtendea haki huyo dada mwenye nyeusi!
mmoja hajuiHakuna wa kulaumiwa hapo kwani wanawake hao wanajua kuwa wanashea mwanaume.
Tendo wanalofanya huwa linafuatana na miguno na sauti wakati wa kuachiana midomo.mmoja hajui