Alaumiwe nani?

Alaumiwe nani?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,972
Reaction score
168,458
Hapa alaumiwe nani?


63854_408861952520270_1203694279_n.jpg
 
Alaumiwe mvulana... Kwa kujua fika kuwa huyo binti wa kati anampenda fika na kumuamini then bado anampiga chenga hapo hapo; bora hata ingekuwa mbali na hapo. Huyo binti hapo nyuma hawezi laumiwa saana. Love makes you do crazy things... Ukute yupo radhi walau apate hilo busu kwa njia ya uficho mradi aridhie hamu ya penzi lake juu ya jamaa...
 
alaumiwe msichana mwenye nguo nyeusi,haja-concentrate kwenye jambo analofanya ndo maana anaibiwa
 
Kwanini utangulize kulaumu badala ya kuuliza apongezwe nani?
 
Hakuna wa kulaumiwa hapo kwani wanawake hao wanajua kuwa wanashea mwanaume.
 
huyo mwanaume na huyo mwanamke mwenye nyekundu, wote ni wa kulaumiwa maana hawajamtendea haki huyo dada mwenye nyeusi!
 
Shetani maana kajishikiza kwenye mioyo, miili, akili za hao wote!
 
Huyo mdada alukumbatiwa akiona hayo ya mabusu kama njiwa anaweza kuzimia....duh huyo jamaa kiboko....
 
Kwa nini kulaumiana wakati naona wanaelekea kwenye 3some game?
 
Alaumiwe mwenye chake kwa kutokilinda chake!
 
Back
Top Bottom