Alamsiki,nikuache na kaneno.

Mugunga

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
641
1,000
George Orwell, yule aliyeandika Animal Farm?Ndani take kulikuwa na usemi maarufu 'All animals are equal, but some are more equal than others'.Inaelekea alipenda kuwakosoa sana wanasiasa.Angekuwa Tz nadhani angelikuwa amebambikiziwa kesi.
 
Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,592
2,000
George Orwell, yule aliyeandika Animal Farm?Ndani take kulikuwa na usemi maarufu 'All animals are equal, but some are more equal than others'.Inaelekea alipenda kuwakosoa sana wanasiasa.Angekuwa Tz nadhani angelikuwa amebambikiziwa kesi.
Ndiye huyo haswaa.,sema hata hivyo 'wema hawadumu' aliiacha dunia mapema ikiwa bado inamhitaji,kama sikosei alikuwa kama 47yrs tu.
images-947.jpeg
images-2330.jpeg

images-604.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Ranks Kaneno kwa Roma..... Jamii Photos 1

Similar threads

Top Bottom