kibombonya
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 326
- 567
- Thread starter
- #61
na akimpata amle ndogo kumalizia hasira zake zote kwa alichomfanyia




una hasira Sana mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
na akimpata amle ndogo kumalizia hasira zake zote kwa alichomfanyia




una hasira Sana mkuu! Nazani anastaihili hiki,Snitch alipiga mimba Happy akampeleka town kujitazamia kujifungua, baada ya mda flani wakaletwa watumishi wapya jamaa akadaka mtumishi mwenzake akaoa! Demu akafight penzi kwa snitch akafail ikabid arud kwao Mwanza (kawa single mother wa kujitakia) hajaolewa adi leo
Sent using Jamii Forums mobile app



,Napenda storyDuu! umewezaje kusoma yote!
Jamani...Mimi Ndo huyo Dada..Nisamehe Ni tamaaa tu, msalimie wife na watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitukana bila shakaKuna vingi sijaviweka maan story ingekua ndefu Sana afu mie sio muumini wa episodes! Ningewachosha wasomaji ila Kuna tukio nilifanya wakat natoka kwao Kama sa7/8 ucku ambalo adi leo hii siamin Kama ni mm nliepitia hayo mkuu. Alama ziko nying sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani...Mimi Ndo huyo Dada..Nisamehe Ni tamaaa tu, msalimie wife na watoto
Sent using Jamii Forums mobile app




Nilipenda tena ingawa ilichukua muda kumuamini na alijitahid Sana kuniaminisha (ambae ndio wife). Kuanguka mapenzini Zaid ya Mara moja "ndio kupo Sana tu" angawa na maumivu yake ndo yanakua maradufuOooouuuh kastori kazuriii ila kafupiii, mapenzi!!! je umependa tena kama/au zaidi ya ulivyompenda, je unaamini katika kuanguka mapenzini zaidi ya mara moja?

Nishawai ingia nae kanisan na tukajiapiza kutokuja kuachana tukawekeana biblia katikati tukiwa tumepingiana! Alinishawishi Sana tufanye hivo akihofia ntakuja kumuacha (huu ndo upuuzi nnaoujutia adi kesho)Ulitukana bila shaka
Neno hupingwa na neno, hilo agano mbona linavunjika?Nishawai ingia nae kanisan na tukajiapiza kutokuja kuachana tukawekeana biblia katikati tukiwa tumepingiana! Alinishawishi Sana tufanye hivo akihofia ntakuja kumuacha (huu ndo upuuzi nnaoujutia adi kesho)
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you,maana zipo dhana kuwa ukipenda mara moja ndio basi tena kwamba moyo huwa una nafasi moja mwingine/wengine ni kujilazimisha tu.Nilipenda tena ingawa ilichukua muda kumuamini na alijitahid Sana kuniaminisha (ambae ndio wife). Kuanguka mapenzini Zaid ya Mara moja "ndio kupo Sana tu" angawa na maumivu yake ndo yanakua maradufu
Sent using Jamii Forums mobile app
2012: Nipo ofisi fulani nafanya mazoezi kwa vitendo ya kumalizia masomo yangu ya chuo. Siku moja akajitokeza Dada mzuri sana wa sura na umbo "miguu mizuri" maeneo ya job.. Hakuwa client wangu, nilionana naye tu kwa corridor za job. Nikajikongoja nikaomba number, nikapewa. Tukaanza kuwasiliana.
Nilikuwa na mshkaji wangu wa karibu sana tunapiga naye "mazoezi kwa vitendo", yeye alikuwa na skills zaidi yangu kikazi as alikuwa ametoka kazini kabla hajaja kujiendeleza. Me nikawa namtumia ili kupata uzoefu na ujuzi zaidi. Niliambatana naye kila siku, kila mahali. Kazi yetu ilikuwa inatulaza na kiasi kisichopungua 60,000/= hadi 150,000/= kwa siku.
Ikawa karibu kila siku saa 12 to 1 jioni tukimaliza kazi yule Dada mrembo anakuja, tunapita supermaket tunanunua madude.. Tunamsindikiza hadi karibia na kwao. Tulikuwa hatuna majukumu, kuspend hela yote tunayoipata was not a big deal.. Jamaa yangu alikuwa mtu wa story sana na matanuzi sana.. Daima yeye alikuwa ananambia dogo hifadhi hela yako, me napataga hela nyingi zaidi yako, so akawa mara nyingi yeye ndo analipia hayo madude tukifika counter. Mwezi ukapita, miezi miwili.. Ukaribu wangu na mdada ukawa umeongezeka sana, kinje nje waliokuwa wanatuona hakika hawakuacha kusema "hii couple" inapendana sana. Wakati huo sijamvua chupi ila ndo tupo kwenye harakati za kuvuana chupi.. Tulikuwa tunaishi kwa hosteli ndani ya ofisi tulizokuwa tunapiga field. "Sikuwa na haraka ya kuvuana chupi cz i knew huyu ni wangu tu".. Ofcz na yeye alikuwa ananambia kuwa mvumilivu, hili tunda ni la kwako.. More patience pls! Sikuona big deal.
Siku moja nikapata msiba mzito, mzito, mzito.. 1st degree! Sikukumbuka kumuaga mpenzi cz i had to travel immediately after the news! Imefika jioni kama ratiba zetu, binti anapiga simu pasipo kupata mrejesho..
.
.
.
Baada ya mazishi, nimetulia, akili imerudi mahala pake, nikasema ngoja nimpigie.. Simu haipokelewi..
Siku ya pili, simu haipokelewi.. Pengine binti aliona missed calls but hakupiga! baadaye akapokea.. Pole Copernicucci98, nasikia umefiwa! Napewa pole kavu, as if we are just friends! I smelled fishy but i had denial, thinking brain inanambia huyu siyo wako tena but feeling brain inanambia huyu ni wako. Siku 14 zikapita, nikarudi job! Rafiki angu akanambia binti ameenda Nchi X.. Ooh Yes, binti alinambia ana ratiba ya kwenda Nchi X but ratiba ilikuwa ni ya miezi nane ijayo. Me na mshkaji tukaendeleza harakati zetu, fanya kazi kwa bidii.. Mshkaji alinisaidia sana kujenga skills zangu.. Kwavile naturally i was born a prodigy, pamoja na nidhamu na utulivu, i gained a huge trust. This took my carrier to a next level. Percapital ikaongezeka.
.
.
.
Siku moja baada ya miezi kadhaa kupita nikapokea msg ndefu ya regret. Aliandika story: "Unajua copernicucci98 wewe ndo ulikuwa mwanaume wa ndoto yangu.. Ulikuwa unanipenda kwa dhati tokka moyoni. Tulikuwa tunaenda fukweni jioni etc.. Jioni ile umeenda msibani baada ya kukukosa kwa simu nilikuja hostel. Nikaonana na rafiki yako kwa corridor. Akanambia habari za msiba. Akanichukua hadi room kwake. Tukajikuta tumefanya sex. Ikawa hivyo kwa siku 10 zilizofuata. Then ikawa unakaribia kurudi. Rafiki yako akanishauri niende Nchi X kama nilivyokuwa nimepanga, akaniambia nikae huko miezi kadhaa, nitakaporudi atanilipia chuo.. So tukakata airticket, nikasafiri. Lkn now ahadi zake hazitekelezi. Najuta sana. Nakupenda."
Moyo ulinipasuka. Lkn nikajikaza. Wakati huo ushirikiano wangu na mshkaji upo vzr, tunatengeneza pesa. Nikasema mshkaji simuambii chochote. Acha maisha yaendelee. Acha tupige kazi.
.
.
Kuna siku tupo zetu tunapiga kazi mshkaji anajipanga, akaanza kuniambia hizo habari ambazo nazifahamu. So, kila akisimulia me nikawa namsimulia event ya mbele yake waliyokuwa wameifanya. Alishangaa. Nikamwambia tupige kazi, tuachane na hayo mastory, demu wako alishaniambia. Kumbe demu alikuwa amerudi Tz, anataka ampeleke shule; akaona itakuwaje akionekana naye machoni mwangu!
Ninachomshukuru, jamaa alimlipia ada za mwanzo yule binti, baadaye aliendelea kuhangaika cz alikuwa ananipa ripoti na ku seek sympathy!
NB:
1: Nilihisi pengine binti alianza kuwasiliana na mshkaji kabla sijapata msiba. "Mshkaji ni aina za show off".. Binti yeyote mpenda vizuri ni ngumu kujinasua. Ofcz i had hivyo vipesa vidogo vidogo ambavyo kwa level ya yule Mdada nisingemshindwa. And she was free to access, sikuwa mbahili kwake.
2. Yes, nilishika mapembe.. Sikumlaga. Ila baada yake, demu niliyekuja kumpata sijawahi pata tena demu kama yule. Na sitokuja kumsahau maishani. What a beatiful lady.. What a person she was.. What a heart!
3. Binti kwao hawakuwa vzr sana financially.. Ofcz she was once from a middle class family, then she lost both parents. By the time tunafahamiana alikuwa anaishi kwa dada yake aliyeolewa; Nchi X alienda kwa dada yake mwingine aliyeolewa kule. Kimuonekano ni mzuri, ana ile ngozi na mwili uliyopata matunzo bora utotoni.
Dah umenikumbusha hostel 3 pale SUA. Kulikuwa na wazee wa shughuli dem wako akija akakukosa imekula kwako.....wakali wanamualika room wsnamkaribisha kiti wanamletea na soda....kisha wanakula mzigo siku hio hio.....
Hatareeerr