Alama (symbols) za Shetani zinazotumiwa na makampuni, vikundi vya dini na vikundi vingine.

download.jpg
images.jpg
 
Mkuu nimeona ALAMA ya Mwezi pia, unamaanisha Mungu nae kuipamba ANGA/MBINGU na Mwezi, na yeye anatumia ALAMA za Shetani...!!

Aaaa Mkuu..tafakari...sio kwa Maelezo hayo...!!
 
Mkuu nimeona ALAMA ya Mwezi pia, unamaanisha Mungu nae kuipamba ANGA/MBINGU na Mwezi, na yeye anatumia ALAMA za Shetani...!!

Aaaa Mkuu..tafakari...sio kwa Maelezo hayo...!!
Siko tayari kuingia kwenye discussion ya alama moja,ila common sense tells it all.
 
Kibwetere, aliyasoma yaliyoandikwa kwenye izo hizo LINK kisha akawachoma waamini wake wote moto.

Kwa hiyo nawe endelea vivyo hivyo.
Nadhani somehow hili bandiko limekugusa,kwa kuwa sioni kwa nini reaction yako iwe so negative and hostile.I am sorry, sikukusudia kukuumiza.Nilidhani itakuwa msaada.
 
Google inakupa results kutokana na statement yako, na ile ni search engine inakusanya image kutoka web mbali mbali, sasa wewe ndo wakuchagua lipi zuri lipi baya

lakini jua tu at this era kama unafikra kuhusu illuminati huto ishi kwa raha maana almost +85% ya man-made devices au technology kwa ujumla lazima ukutane na hao watu kama unajali sana, so we fanya yanayokupa faida maana ukichimba sana ndo utajua hiyo sim/PC ni mali yao, na ukijua halafu unaendelea kutumia ndo dhambi inapokuja sasa
 
Siko tayari kuingia kwenye discussion ya alama moja,ila common sense tells it all.
Yeeah..through common sense, thats why i REVEAL...!

Pengine kusinge kuwa na umuhimu wa kutuwekea LINK..kusapoti MADA yako..

Jibu swali langu Mkuu.

Kumbuka na hapa sijaangalia ALAMA zote, niligota kwenye huo MWEZI tu...
 
Google inakupa results kutokana na statement yako, na ile ni search engine inakusanya image kutoka web mbali mbali, sasa wewe ndo wakuchagua lipi zuri lipi baya

lakini jua tu at this era kama unafikra kuhusu illuminati huto ishi kwa raha maana almost +85% ya man-made devices au technology kwa ujumla lazima ukutane na hao watu kama unajali sana, so we fanya yanayokupa faida maana ukichimba sana ndo utajua hiyo sim/PC ni mali yao, na ukijua halafu unaendelea kutumia ndo dhambi inapokuja sasa
Mmm,kutumia gadget ya Illuminati sio dhambi.Ila Mungu ametuamuru kwamba kila jambo litanguliwe na maombi including using Illuminati gadgets kwa kuwa anajua what these agents of Satan are capable of doing.Illuminati na agents wao have surrounded us with poisons,other body dilapidating agents and spiritual poisons of unimaginable magnitude. Maombi pekee ndiyo yanayoweza kuharibu mipango yote ovu ya Shetani aliyopanga dhidi yetu.
 
Yeeah..through common sense, thats why i REVEAL...!

Pengine kusinge kuwa na umuhimu wa kutuwekea LINK..kusapoti MADA yako..

Jibu swali langu Mkuu.

Kumbuka na hapa sijaangalia ALAMA zote, niligota kwenye huo MWEZI tu...
Siwezi kujibu mkuu,nimesema common sense iamue,the crescent and star is a sensitive issue. Please understand me.
 
Kipindi mimi nahangaika kutafuta satanic symbols kuna kijana mwenye umri kama wangu anahangaika ku hack mfumo wa Bank fulan ili aweze kupata 6 Billion.
Kwanza huo ni wizi,jambo ambalo only the morally corrupt can think about. Hata hivyo kazi hii haihitaji muda, it's a few minutes job,although it is a very spiritually rewarding because it can save people from eternal hell fire for those who believe in the true God.
 
Watu wanaoamini hizi story huwa ni wajinga, hawajaelemika na delusional.
Mkuu mimi nimesoma vizuri sana, lakini naamini hayo mambo.Lakini hata hivyoo,kama Illuminati ambao ndio waliobuni hata hiyo elimu fake uliyonayo wana amini haya mambo na in fact ni yao, who are you not to believe in them. Isn't it ridiculous?

Lakini hata hivyo mkuu hukuhitaji kuwa so hostile.Kama huko interested ingekuwa busara kama ungenyamaza.Kwa jinsi ulivyo react umeonyesha dhahiri ujinga wako.
 
Kama Illuminati ambao ndio waliobuni hata hiyo elimu fake uliyonayo wana amini haya mambo na in fact ni yao, who are you not to believe in them. Isn't it ridiculous?
Narudia watu wanaoamini mambo ya Freemasonry, Illuminati, uchawi, ulozi, uganga na story za kusadikika ni wajinga, hawajaelemika na delusional.
 
Hayo ni maandalizi ya kutonunua wala kuuza mpaka uwe na ile alama ya mnyama, kwa wanaosoma bible watanielewa, pale mlango wa neema utakapofungwa ndio itakuwa wazi na hapo itakuwa too late to turn back kwa wale ambao hawaamini.
 
Back
Top Bottom