Alama (symbols) za Shetani zinazotumiwa na makampuni, vikundi vya dini na vikundi vingine.

Narudia watu wanaoamini mambo ya Freemasonry, Illuminati, uchawi, ulozi, uganga na story za kusadikika ni wajinga, hawajaelemika na delusional.
Sawa mkuu, Biblia yangu
inaniambia kwamba uchawi,ulozi etc. and underground societies kama Freemasons,Jesuits,Knights of Templar,Skull and Bones nk.vipo,kwa hiyo nitaendelea kuamini.Wewe mjanja endelea kuamini unachotaka kuamini,huzuiwi,ila sisi wengine tafadhali usitukashifu, sio busara.
 
Katika kitabu cha Hosea 4:6,Mungu anasema maneno haya,"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa."Maneno haya ya Hosea ni kweli sasa kuliko wakati wowote mwingine.Watu wanaangamizwa na sumu mbali mbali,huku wengi wengine wakipotea kiroho.Ni kweli sasa hasa kwa sababu yapo makapuni mengi yanayozalisha bidhaa mbali mbali kwa nia nzuri na ovu. Vipo pia vikundi vingi sasa vya dini kuliko zamani ambavyo vinaeneza uzushi mwingi wa kupoteza.

Kwa bahati nzuri ni rahisi mara nyingi kuyatambua makampuni haya na vikundi hivyo kwa kuwa makampuni hayo na vikundi vina nembo na vinatumia pia alama mbali mbali kwa sababu mbali mbali.Alama hizo zipo pia kwenye bendera za maarifa mbali mbali. Inasemekana kwamba taifa la Marekani ndilo linaloongoza duniani katika matumizi ya nembo hizo.

Nembo hizo na alama ni message tosha juu ya nia ovu au nzuri ya makampuni hayo na vikundi kwetu.Kwa hiyo ni muhimu kuzifahamu alama hizo na maana ya nembo hizo,ili somehow tuweze kujihami.

Leo nita wakilisha nembo hizo na inshallah Mungu akijalia nitawakilisha maana ya nembo hizo.

Kwa kuwa alama hizo na nembo ni nyingi,na kwa sababu sitaki kunyooshewa vidole, nimeona ni vema kila mtu akaziangalia na kuweza ku-asses kama mahali alipo na anachofanya ni appropriate kulingana na kusudi lake maishani.

Kupata "alama hizo" au symbols, tafadhali google "Satanic symbols"halafu nenda kwenye "images." au fuata link hii satanic symbols - Recherche Google

Nembo na alama zingine zina vielelezo vya ziada,kwa hiyo kila unapofika kwenye nembo au alama click ili upate vielelezo hivyo.

Nitangulie kusema kwamba sina nia yeyote mbaya na kampuni yeyote, kikundi chote chote cha dini au mtu,nia yangu ni ku-impart knowledge, so that people can make informed decisions.
soma biblia uujue ukuu wa Mungu usitake kujuajua alama za shetani, neno la mungu linatuonya tusiabudu sanamu. Achana na sanamu zao weka imani kwenye Neno la Mungu
 
soma biblia uujue ukuu wa Mungu usitake kujuajua alama za shetani, neno la mungu linatuonya tusiabudu sanamu. Achana na sanamu zao weka imani kwenye Neno la Mungu
Kwanza hujaelewa bandiko mkuu, soma tena.Halafu mimi siabudu sanamu na imani yangu sijaiweka mahali pengine popote isipokuwa kwa Kristo tu. Hata hivyo mbona nimeweka wazi nia ya bandiko mkuu.Nia ni kuwapa watu maarifa ili wazijue hila za Shetani. Kumbuka kwamba Mungu ameamuru tuzijue fikra za Shetani ili asije akatushinda(2Korintho 2:11).Efeso 5:11-12 iko wazi zaidi. Inasema "Take no part in the unfruitful works of darkness,but instead expose them." This is exactly what I am doing,to expose the unfruitful works of the Devil. Ninyi wenzangu elimu nyingine tofauti na hii sijui mnaipata wapi. Katika Efeso 6:11-13 tunaambiwa tuvae silaha zote ili tuweze kuzishinda hila za Shetani.Silaha hizo ni zipi, ni kuzijua hila za Shetani. Na katika Zaburi 94:16 tunasoma,"Ni nani atakayesimama kwa ajili yangu juu ya wabaya?Ni nani atakayenisaidia?" Mimi nimeamua kusimama kwa ajili ya Bwana Yesu katika kuzifunua kazi uovu za Shetani kwa kuwa Mungu ndivyo alivyoamuru.Kama ninyi mmeamua kumfichia siri Shetani shauri yenu,lakini mjue mnakwenda kinyume na maagizo ya Mungu.
 
Aliyeandika link sio mtu mweusi, ni mzungu!Unajidanganya,hivyo sio vitu vya kutunga.Vimetungwa ili iweje? Funguka wewe.Wenzenu wanataka kuwamaliza.Ndio maana mnawapa madini bure,wameshamaliza kazi.
Ni wapi nimesema hayo yameandikwa na Mtu mweusi?

Hebu tuthibitishie kuwa hivyo sio vitu vya kutungwa tu.

Wewe unayeamini katika hayo ndio MJINGA na umemezeshwa vitu vya kufikirika tu.

Hebu thibitisha kuwa hivyo sio vitu vya kutungwa tu.
 
Ni wapi nimesema hayo yameandikwa na Mtu mweusi?

Hebu tuthibitishie kuwa hivyo sio vitu vya kutungwa tu.

Wewe unayeamini katika hayo ndio MJINGA na umemezeshwa vitu vya kufikirika tu.

Hebu thibitisha kuwa hivyo sio vitu vya kutungwa tu.
Kwa misimamo huo mkuu sina sababu ya kuendeleza dialogue na wewe.The hostile atmosphere you are creating shows that you are not interested in learning,but rather have an answer already.Nia yako ni kukwamisha.Swali lako ni sawa na kumwambia mtu a-pprove kwamba Tanzania ni Tanzania.Very illogical question.Interest yangu sio kubishana ni kuelimishana.If you think you know already kaa pembeni.
 
Kwa misimamo huo mkuu sina sababu ya kuendeleza dialogue na wewe.The hostile atmosphere you are creating shows that you are not interested in learning,but rather have an answer already.Nia yako ni kukwamisha.Swali lako ni sawa na kumwambia mtu a-pprove kwamba Tanzania ni Tanzania.Very illogical question.
My question is so Logical...!

Ndio, ukiniambia hii Tanzania (ambayo ni nchi) nitahitaji unipe na sababu.

Wewe unavyoniambia hizo ni charter za shetani kupitia sijui Illuminati nataka nipate ushahidi kuwa hizo ni charter za shetani.

Hebu thibitisha kuwa ni za shetani na umejuaje kuwa ni za shetani?
 
Back
Top Bottom