Alama hizi za bra zinatokaje?

manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,258
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,258 2,000
H
Yeah nilipo sema za asili nilikuwa na maanisha sio ..weaving .wig.au rasta zile za kichina(human maid)... hilo suala la kuwa na dawa .. haliondoi u-natural wake

Sent using Jamii Forums mobile app
ivi kwanni wanaume hampendagi mbwembwe z maweaving jaman..kidg kubadilika ati...
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
33,183
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
33,183 2,000
H

ivi kwanni wanaume hampendagi mbwembwe z maweaving jaman..kidg kubadilika ati...
Sina hakika Sana kama wanaume wote tuko hivyo ".. ila binafsi yangu huwa sipendi mwanamke anaye jinanga nanga sana " ... but haimaanishi kwamba akivaa ma-weaving sinto mfurahia "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
33,183
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
33,183 2,000
Duh..huwa ninatatizo nikimpenda mtu kutoka moyoni namuogopa, ngoja nijipange nione naanzaje aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ... unakuwa una hofu " inaelekea unaugonjwa wa kupenda wana wake wazuri sana"..... Mara nyingi hiyo hali huwa kuwa wanaume wenye tabia hizo" Haswaa tabia hiyo huwa inachukua nafasi endapo ukiwa na hali ya uchumi wa kawaida halafu upo in luv na mwanamke mzuri sana ...

Ijapo kuwa sio wanaume wote huwa wanafikwa na hiyo hali lakini ni wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Messages
2,172
Points
2,000
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2019
2,172 2,000
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Bado hujapata suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,271
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,271 2,000
Si mvae nguo msivae kwani shida iko wapi?
 

Forum statistics

Threads 1,343,051
Members 514,894
Posts 32,772,040
Top