Alama hizi za bra zinatokaje?

Mtomawe

Member
Feb 3, 2019
27
45
Hio inaondoka yenyewe ,kikubwa punguza kuvaa bra mda wote ,acha kulala na bra pia ukimaliza mizunguko ya sikunzima ukishao ga usivae bra hadi kesho itaisha.
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
25,710
2,000
Hio inaondoka yenyewe ,kikubwa punguza kuvaa bra mda wote ,acha kulala na bra pia ukimaliza mizunguko ya sikunzima ukishao ga usivae bra hadi kesho itaisha.

Asante sana...niliacha kulala na bra...kidg inafade..tatizo narudi usk kutoka saa12 asbh..bas ni km yale yale๐Ÿ˜ถ...hilo jina nimekumbuka chaka langu jipya mkoa fulan
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
8,148
2,000
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Siri kuu ni kuvaa bra ya size yako
ijue kabisa mf mimi najijua ni 34 C..and dont wear ndogo...ukinenepa nyonyo nayo inakua jipime for comfort
Bora uvae kubwa

Ndogo zigawe ama tupa kabisaa

Makovu masage tu mafuta yako ya kila siku overtime itaisha

Ni kama kiatu
Usivae cha kubana utatoa alama miguuni

Usilale na bra
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
25,710
2,000
Siri kuu ni kuvaa bra ya size yako
ijue kabisa mf mimi najijua ni 34 C..and dont wear ndogo...ukinenepa nyonyo nayo inakua jipime for comfort
Bora uvae kubwa

Ndogo zigawe ama tupa kabisaa

Makovu masage tu mafuta yako ya kila siku overtime itaisha

Ni kama kiatu
Usivae cha kubana utatoa alama miguuni

Usilale na bra
mie nanenepa tu naona na mtindi unazidi kuwa mnene๐Ÿ˜๐Ÿ˜..eish...ht sielewi..ila zimeanza kufade kidg...ilikua had kero kbs
 
Amazon Woman

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
646
1,000
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Tumia salt/ sugar scrub with virgin coconut oil to srub your body.
 
Top Bottom