Alama hizi za bra zinatokaje?

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
2,324
Points
2,000

Tembosa

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
2,324 2,000
wakati nipo form2 ndo manyonyo yaloanza kuota..bas nikawa naona aibu..nikawa navaa zile sports bra nalala nayo since then jaman..siwez lala bila bra..!..hii toka navunja ungo had labor mie naenda na bra..
Umeenda hadi labor and then unaishi na Baba yako na Mama yako?
haya maisha haya....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,356,281
Members 518,876
Posts 33,129,477
Top