Alama hii inaelekeza nini?!

Hiyo alama inaonyesha kwamba mwanamke hana uwezo wa kuruka ukuta isipokuwa mwanaume tu.
 
inaashiria hatari.....either kuna mtu amegongwa na gari maeneo ya jirani.....or kuna nyumba inaungua moto......
Good try but not correct... Keep thinking... Ur about to be right!:majani7:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom