Alaaniwe huyu bosi

Hebu jifunza kuandika lugha yako ya Taifa vizuri tazama humo nilimokuwekea rangi nyekundu, iwe kama ifuatavyo:

safali = safari
mkulugenzi = Mkurugenzi
akaamulu = akaamuru
wizala = Wizara
falaja = faraja
feza = fedha

thanks 4 assistance huwa NACHUKIA sana kusoma maandishi yaliyokosewa, hivi hawa watu waliruka standard one, ama kwanini hawafanyi proof reading? aargghh!!!
 
No no hawakuruka standard one ndugu, kuna makabila kwenye R wanaweka L na kwenye L wanaweka R.
 
Pamwoja na mutoa habali kuleta za muoto muoto, namuamulu tafwazali aandike chiswahili swanifu
 
thanks 4 assistance huwa NACHUKIA sana kusoma maandishi yaliyokosewa, hivi hawa watu waliruka standard one, ama kwanini hawafanyi proof reading? aargghh!!!

Its something to do with mother language pia, Baadhi ya makabila herufi R na L huwa ni mbinde kuzitofautisha.
 
Hebu jifunza kuandika lugha yako ya Taifa vizuri tazama humo nilimokuwekea rangi nyekundu, iwe kama ifuatavyo:

safali = safari
mkulugenzi = Mkurugenzi
akaamulu = akaamuru
wizala = Wizara
falaja = faraja
feza = fedha

umenivunja mbavu sana,atakua muhaya uyo,endelea kurekebisha viswahili umu jf kaka
 
thanks 4 assistance huwa NACHUKIA sana kusoma maandishi yaliyokosewa, hivi hawa watu waliruka standard one, ama kwanini hawafanyi proof reading? aargghh!!!

its not about proof reading, it is beyond that sir!
 
Back
Top Bottom