Alaaniwe aliebomoa nyumba za watu na kuiba vitu vyao huko Mapinga Bagamoyo

Hivi sheria inasemaje ikiwa mtu alipewa eneo na serikali ya kijiji/mji na hakufanya chochote kwa muda mrefu baadae serikali ya kijiji ikarudisha eneo kwa wananchi ndipo yule mwekezaji akajitokeza na kudai eneo baada ya kesi kwenda mahakamani yule mwekezaji akashindwa kesi lakini akawa bado anaenda kwenye maeneo yale kukagua mipaka hii imekaaje kisheria?

Kama huyo mmiliki wa mwanzo alipewa hati iliyosainiwa na kamishna wa ardhi.. hapo pagumu.

Ni Rais peke yake ndie ana mamlaka ya kumpora umiliki wa hiyo ardhi.

Sio mkurugenzi tu Hata waziri Mkuu hawezi kufuta huo umiliki
 
Hivi sheria inasemaje ikiwa mtu alipewa eneo na serikali ya kijiji/mji na hakufanya chochote kwa muda mrefu baadae serikali ya kijiji ikarudisha eneo kwa wananchi ndipo yule mwekezaji akajitokeza na kudai eneo baada ya kesi kwenda mahakamani yule mwekezaji akashindwa kesi lakini akawa bado anaenda kwenye maeneo yale kukagua mipaka hii imekaaje kisheria?
Miaka mitatu lakini lirudi serikalini hati ifutwe halafu apewe mwengine.

Kama alikuwa na hati halali na anailipia, huna ujanja.
 
Wasalaam,

Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote.

Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki mpate kuamka tena kimaisha.

Inshallah Mungu ni mwema

Wadiz
Lijamaa wewe unaweza kuta ni shabiki wa lisu
 
Mambo mengine lazima tufuate haki za watu. Hapa hawa waliovunjiwa walivamia shamba la mtu wakaambiwa waondoke wakafanya jeuri hata hawakutaka majadiliano na mwenye shamba!! Sasa mahakama imeamua hawa wavamizi waondolewe shambani kwa mwenyewe maadam hawakutaka maelewano!!
Uvamizi Kama huu uko kwenye mashamba ya Watu mengi huko kuelekea seheme za Mapinga , hivyo nyumba nyingi zitavunjwa iwapo wavamizi hawatapata suluhu na wenye mashamba! Kumbuka haya mashamba yana TITLE DEEDS!
wanaokamata maeneo makubwa hivyo wanakuwaga wap mpk watuvamie?
 
Tatizo ni pale unapodanganywa na matapeli kuwa hayo mashamba ni ya kijiji kumbe ni mashamba ya watu!
Unaponunua ardhi epuka njia za mkato na hakikisha unafanya search wizarani. Kuna matapeli wengi sana hasa wa viwanja!
 
Mambo mengine lazima tufuate haki za watu. Hapa hawa waliovunjiwa walivamia shamba la mtu wakaambiwa waondoke wakafanya jeuri hata hawakutaka majadiliano na mwenye shamba!! Sasa mahakama imeamua hawa wavamizi waondolewe shambani kwa mwenyewe maadam hawakutaka maelewano!!
Uvamizi Kama huu uko kwenye mashamba ya Watu mengi huko kuelekea seheme za Mapinga , hivyo nyumba nyingi zitavunjwa iwapo wavamizi hawatapata suluhu na wenye mashamba! Kumbuka haya mashamba yana TITLE DEEDS!
Hivi ukivamia shamba lisilo na title deeds mwenye shamba anaweza kukushinda na ukabomolewa?
 
Haya yanafanyika kwa sababu CCM imegeuka pango la wauaji na majambazi.

Na usikute hao jamaa walisindikizwa na polisi kufanikisha unyama huu.

IGP Wambura yupo bize kupambana na kina Lissu wasifanye mikutano badala ya kusimamia sheria
Kila kitu lawama kwa ccm, ukifanya umalaya wako ukaambukizwa kaswende lawama kwa ccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom