long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Dini zingine......
Kiarabu ni lugha bana naona na ongeA na mtu usie na elimu mbona waafirka wanagraduate kwa kiingereza kwa nini wasitumie kisukuma au kigogo Quran imeshushwa kwa lugha ya kiarabu na sio kiswahili ili ujue kuisoma na kuelewa lazima ujue kiarabu kwanza sawa na wewe ukitaka kufuzu mafunzo yako ya sheria ujue kiingereza kwanza maana huwezi pata shahada ya sheria mpaka ujue kiingereza hii haimaniishi wewe muingerezaKwani mbona mkiswali mpk kwa kiarabu ndiyo huyo mungu wenu anawasikia..! Vipi mabikra 72 wa mbinguni ukiuwa watu kwa jina la makafiri??[emoji41] [emoji41]
Wewe naona unaelimu ya madarasa tuuh...! Kwani ukiristu uliletwa Africa kwa kilatini Ila ulipofika ukabadirishwa kwa lugha asilia iweje nyie mkomae na kiarabu..! Ata kwa wazungu waliowaislam wanaswali kwa kiarabu why??Kiarabu ni lugha bana naona na ongeA na mtu usie na elimu mbona waafirka wanagraduate kwa kiingereza kwa nini wasitumie kisukuma au kigogo Quran imeshushwa kwa lugha ya kiarabu na sio kiswahili ili ujue kuisoma na kuelewa lazima ujue kiarabu kwanza sawa na wewe ukitaka kufuzu mafunzo yako ya sheria ujue kiingereza kwanza maana huwezi pata shahada ya sheria mpaka ujue kiingereza hii haimaniishi wewe muingereza
Ndio maana ya mungu bado kasome hata hiyo biblia mlitafsiriwa lakini haikuwa kwa lugha ya kiswahili sasa nasisi kiarabu ndio lugha iliyoandika Quran hivo ili kuijua Quran lazima ujue kiarabu kama vile wewe ili uijue sheria lazima ujue kiingerezaWewe naona unaelimu ya madarasa tuuh...! Kwani ukiristu uliletwa Africa kwa kilatini Ila ulipofika ukabadirishwa kwa lugha asilia iweje nyie mkomae na kiarabu..! Ata kwa wazungu waliowaislam wanaswali kwa kiarabu why??
Elimu ninayo kubwa mno hasa ya duniani na kiasi kuhusu Mungu!
Hata askofu na mapadri tayari sio?Duh...
Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza totoro.
SHARIA ingefata haki bila kuwalinda baadhi ya watu dunia hii asingesalia hata mtu mmoja.
Hata wa kupiga jiwe, angeshapigwa mawe kabla.
Ivi kweli kuna binadamu asiye wahi kuzini, au kuiba au kubadili dini au kunanilio, hapa duniani. ?
Ni Malaika au Yesu Kristu tu.
Tujadiliane kwa busara basiii...
Loh...
Mungu peke yake ndiye mtakatifu.Hata askofu na mapadri tayari sio?
Ni Kweli lkn Musa alikua anawahukumu km huko somaliaMungu peke yake ndiye mtakatifu.
Kama msomi wa dini nadhani umesoma Mitume na Manabii walivyo wahi kutenda dhambi na walisamewa baada ya kutubu
Nadhani unakumbuka kisa cha cha Nabii Daudi na batsheba mke wa Huria, nadhani unakumbuka Nabii Musa alivyoua Mmisri.
Wengine kama wewe ni msomi wa dini unawajua.
SHARIA isinge wapa fulsa ya kufanya unabii wangesha pigwa mawe.
Wacha unafiki hakuna binadamu mkamilifu.
Labda wewe mwenzetu.
No mkuu, huko Somalia wamehalalisha hukumu hiyo,Ni Kweli lkn Musa alikua anawahukumu km huko somalia
Acha ushamba linganisha Quran na biblia, Sheria na issue za Mungu wapi na wapi kwa akili zako ata ujatofautisha kati ya Mungu na mungu wenu..!Ndio maana ya mungu bado kasome hata hiyo biblia mlitafsiriwa lakini haikuwa kwa lugha ya kiswahili sasa nasisi kiarabu ndio lugha iliyoandika Quran hivo ili kuijua Quran lazima ujue kiarabu kama vile wewe ili uijue sheria lazima ujue kiingereza
Wabobezi wa mas-ala ya din."apparently the sun sets in a remote isolated muddy pool" (wachache sana watanielewa)
SOMALIA: Wapiganaji wa Al Shabaab wamempiga mawe mbele ya hadhara hadi kufa mwanaume mmoja(44) baada ya kupatwa na hatia ya uzinzi.
Mkuu wewe ni muislamu ama dini gani?Hao Al shabab na wanaojiita waislam hata uislam wenyewe hawaufuati. Hakuna sehemu hata moja katika Quran inasema mzinifu auawe. Quran iko wazi kabisa Sura ya 24:2: Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini.
Sasa eti kwa kutojua kwao wanasema eti hiyo aya ya kupigwa mawe mzinifu hadi kufa ilisahauliwa kuandikwa. Mwenyezi Mungu atusamehe jamani.
Wewe leta hoja yenye Aya hakuna haja ya kujua mimi ni dini gani. Tunabishana kwa Aya sio blabla hapa.Mkuu wewe ni muislamu ama dini gani?
Nataka nijue namna ya kwenda na wewe