Punguani ni wewe maana hujitambui ulikotoka na unakoenda na utaishia wapi kasome ndugu dunia ni mapito utaiacha na vyote vinavyokutia kiburi utaviacha huko utahukumiwa kwa uliyoyatenda duniani sio yale uliyoyawaza na kufurahisha nafsi ukinywa bia unaona maisha ndio haya unasahu kuna siku ya hukumu na hakuna msamahaWewe ni aina ya punguani.umekalilishwa dini ukaamini ujinga huo %100 bila hata kujifikirisha,usemayo yote hakuna hata moja unaweza leta uthibitisho,ni ujinga umekujaa huna faida hata kidogo zaidi ya kujaza dunia tu inabanana.sitaki kuendelea kuongea na mtu alieshikiwa akili.hujielewi
Nawe kama huna cha kuongea tuliza matako chini mood gani unayemuongelea unamjua au unaropoka ilimradi wakusikielakini wanafanya sahihi kulingana na kitabu chao cha dini? tumlaumu nani sasa kati yao au mood aliyekileta?
aisee acha matusi watu tumefunga, lakini kwani nani alileta ile book? au ilidondoka tu, na zile hadisi.Nawe kama huna cha kuongea tuliza matako chini mood gani unayemuongelea unamjua au unaropoka ilimradi wakusikie
Ndio mimi gaidi, nilipeGaidi wewe mwenye chuki rohoni mwako mwenye kuleta uchochezi nchini
Shut up hujui kitu kaaa kimya unajua nini wewe kaaa kimya acha kutujazia inzi humuaisee acha matusi watu tumefunga, lakini kwani nani alileta ile book? au ilidondoka tu, na zile hadisi.
Peleka ujuha wako kule unajua nini wewe zaidi ya bia na kitimotoNdio mimi gaidi, nilipe
Kumbe kuna magaidi humu ngoja niwastue wakudaNdio mimi gaidi, nilipe
Angalia unakokwenda usije ukasababusha mtu apondwe mawe...Nitarud
SOMALIA: Wapiganaji wa Al Shabaab wamempiga mawe mbele ya hadhara hadi kufa mwanaume mmoja(44) baada ya kupatwa na hatia ya uzinzi.
- Mamlaka za Serikali hazikupoea simu zilizopigwa kwaajili ya kutaka ufafanuzi wa kitendo hicho kilichoshuhudiwa na mamia ya watu wakiwemo watoto.
![]()
Al Shabaab stoned a man to death on Sunday as punishment for alleged adultery, they said, a reminder that the militia is still strong enough to carry out public executions despite losing its grip on most towns and cities.
Hundreds of witnesses watched the death of 44-year-old Dayow Mohamed in Ramo Adey village in the south-central Bay region in Somalia, the regional governor representing the al Qaeda-linked insurgency said.
Moalim Geedow told Reuters that Hassan was buried neck-deep in a hole then pelted with stones.
"The man was married with two wives and children. He was publicly stoned to death today for committing adultery according to the Islamic sharia," Geedow said, using a term for Islamic law.
"The man had a third woman who was a divorcee. He did not have her according to sharia. He deceived her, saying that he went to a sheikh (local leader) and that he married her. However, when the woman got pregnant, the two families debated and there was no trace of valid matrimony. The court ruled he did not marry her legally and he was stoned to death."
The government did not return calls seeking comment.
Al Shabaab is fighting to overthrow the weak UN-backed government and impose its own strict interpretation of Islamic law. It was a radical offshoot of the Islamic Courts Union, an alliance of Islamic courts that ruled the capital of Mogadishu and much of the south in 2006.
In recent years al Shabaab has lost control of most towns and cities to a 22,000-strong African Union peacekeeping force supporting the government. But it retains a presence in the countryside and many villages.
Source: the star
Nan mjina anaeaminishwa Kitimoto ni haramu au anaeishi kulingana na tamaduni zetu!! Yaan tamadun za waarabu kutokula Kitimoto ndo kawatia ujinga !! Na mzidi kupelekana Oman waendelee kuwauwa majumban .....akili watu nyie mmekaliaMmekaa kujenga chuki tu na watz wenzenu kuna ugaidi Tanzania nani kakwambia kazi kuharibu mada kuleta ushuzi wenu humu baada ya kula makitimoto yanawaletea chuki na dharau hamjui mnachoongea
Wewe nawe kaaa kimya ushawahi fika oman au unaongea tu usichokijua ni sawa na usiku wa giza kaaa pembeni kale kitimoto kaaa unaona ni bora kwako na ujinga wenu wa kidunia subiri moto unawasubiri siku ya mwishoNan mjina anaeaminishwa Kitimoto ni haramu au anaeishi kulingana na tamaduni zetu!! Yaan tamadun za waarabu kutokula Kitimoto ndo kawatia ujinga !! Na mzidi kupelekana Oman waendelee kuwauwa majumban .....akili watu nyie mmekalia
Kwanza warabu reasoning yao ni kiduchu sana.! Ndiyo maana ata dini yao bhana ina issues nyingi za kijinga mno.Inakutatiza maana huijui bado upo gizani isome kisha utajua kwa nini kuna hukumu kama hizi na lengo ni nini?
Uislam sio dini ya waarab ni dini ya muumba ndio maana nakuambia ukasome kama huwezi soma kaaa kimya ujinga unao wewe usiyetaka kujifunza ukajua uislam ni nini?Kwanza warabu reasoning yao ni kiduchu sana.! Ndiyo maana ata dini yao bhana ina issues nyingi za kijinga mno.
Kwani mbona mkiswali mpk kwa kiarabu ndiyo huyo mungu wenu anawasikia..! Vipi mabikra 72 wa mbinguni ukiuwa watu kwa jina la makafiri??[emoji41] [emoji41]Uislam sio dini ya waarab ni dini ya muumba ndio maana nakuambia ukasome kama huwezi soma kaaa kimya ujinga unao wewe usiyetaka kujifunza ukajua uislam ni nini?