As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,544
Sheria ya kuuwa Mzinifu ni Sahihi lakini pahali ilipotumika ( Somalia) sio sahihi maana jambo hili linatekelezwa chini ya mtawala wa Nchi /Dola ya Kiislam na Sio kutekelezwa na Genge la Wahuni watu ambao ni wajinga hawaujui Uislam wao wanajua Uislam ni kuuwa tu . Hawa jamaa ni watu waovu sana wanaofanya Ufisadi ktk Ardhi