Al Shabaab bury man neck-deep, stone him to death for adultery

Al Shabaab bury man neck-deep, stone him to death for adultery

Ila ni kweli Musa alijua ametenda kosa, ndo maana alikimbia kukwepa adhabu ya kosa lake. Akaenda kuchunga ng'ombe uhamishoni. Alijutia kosa lake akamwomba Mungu amsamene na akasamehewa na akaja kulikomboa kabila lake kwenye utumwa wa Wamisri.

Kama Musa alifanya kosa kutwanga yule Mmisri hadi kuua kabisa ili kumtetea Muisraeli, iweje isiwe kosa Mungu kutwanga watu wa Misri na kuua maelfu ili kutetea Waisraeli?

Si kwamba Mungu alichukua Musa kwa kuwa yeye ni shujaa wa kutwanga watu wa Misri wenye kuonea Waisraeli?
 
Wewe leta hoja yenye Aya hakuna haja ya kujua mimi ni dini gani. Tunabishana kwa Aya sio blabla hapa.
Lengo sio kubishana, nataka nijue ni mtu wa namna gani ili upewe dawa kulingana na kiwango cha ugonjwa wako!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
1569961.jpg

Ninaamini kwa dhati kwamba katika dunia ya leo hii, imani au ibada yeyote inayotia ndani uonekanaji wa kijana huyo mwenye kombati za kivita, silaha ya moto ya kuua watu wengine (sio kuua wanyama) na hata kiboko mkononi kuwachapia wengine - ni ubatili mtupu na kufuru hata kutamka kwamba ni sehemu ya kumtumikia Mungu.

It is inhuman kwamba hao watoto wadogo pichani wanakuwa exposed katika umri wao mchanga kwenye matukio kama hayo yanayofanywa na watu wenye akili mbovu kuliko hata wanyama wa mwituni.
 
Huo ni wivu tuu... Marehemu alikuwa mate ya sumu.. Kila mtoto anaingia line na yeye anakula kilaiiini..
 
Hawa jamaa yaani utadhani ni Waislamu wa kweli kumbe Ujinga mtupu Hukmu ya kumpiga mawe haiwezi ikatolewa na Alshaabab hawa hawana mamlaka hayo hukmu hii inatolewa na mkuu wa Nchi na sio vigenge vya Wahuni kama hawa Alshaabab
 
Wapiganaji wa Kiislamu wa Somalia wamempiga mtu mmoja na kumuua mara tu baada ya kuhukumiwa na mahakama ya kiislamu kwa kosa la uzinzi.

Dayow Mohamed Hassan mwenye umri wa miaka 44 aliuwawa kwa kunyongwa na kushambuliwa kwa mawe na wapiganaji wa Alshabab.

Hassan alishtakiwa kwa kosa la kuwa na uhusiano ya kimapenzi na mwanamke ambaye sio mke wake na kumpa mimba huku akiwa na wake wawili wa ndoa.


--------------------
ISLAMIST militants brutally stoned a man to death as punishment for allegedly cheating on both his wives.

Jihadists from al-Shabaab, which has ties to al-Qaeda, killed Dayow Mohamed Hassan in the Somali capital of Mogadishu

Hundreds of locals watched the 44-year-old being buried neck-deep in a hole then pelted with stones this afternoon.

He was found to have been in violation of Sharia law by the evil terror group, according to reports.

A source said: "The man was married with two wives and children.

"He was publicly stoned to death today for committing adultery according to the Islamic sharia.

"The man had a third woman who was a divorcee. He did not have her according to sharia.

"He deceived her, saying that he went to a sheikh [local leader] and that he married her.

"However, when the woman got pregnant, the two families debated and there was no trace of valid matrimony.

"The court ruled he did not marry her legally and he was stoned to death."
Al Shabaab is fighting to overthrow the weak UN-backed government and impose its own strict interpretation of Islamic law.

In recent years it has lost control of most towns and cities to the African Union peacekeeping force, which supports the government.

But it retains a presence in the countryside and many villages.
Wanafiki mbona wanaowapa order huko uarabuni isil wanawateka wayazid Iraq kuwabaka.Huyo MUNGU anayetetewa na hawa wajamaa naye kilaza kweli
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mpaka wanamponda na kuuwawa nchi kama uongozi ilikua imelala usingizi?naweza sa hukumu hii imetolewa na serikali
 
Kisa jamaa alikutwa na mchepuko, huyo jamaa alikua na wake wawili na akaongeza wa tatu bila kuzingatia utaratibu wa kiislamu, hivyo akakamatwa na mashababi. Walimzika kwenye shimo na kumfukia hadi shingoni, kichwa kikabaki nje na wakaanza kupiga hicho kichwa kwa mawe.

-----------------------------------------------------------------------------------

Al Shabaab stoned a man to death on Sunday as punishment for alleged adultery, they said, a reminder that the militia is still strong enough to carry out public executions despite losing its grip on most towns and cities.

Hundreds of witnesses watched the death of 44-year-old Dayow Mohamed in Ramo Adey village in the south-central Bay region in Somalia, the regional governor representing the al Qaeda-linked insurgency said.

Moalim Geedow told Reuters that Hassan was buried neck-deep in a hole then pelted with stones.

"The man was married with two wives and children. He was publicly stoned to death today for committing adultery according to the Islamic sharia," Geedow said, using a term for Islamic law.

"The man had a third woman who was a divorcee. He did not have her according to sharia. He deceived her, saying that he went to a sheikh (local leader) and that he married her. However, when the woman got pregnant, the two families debated and there was no trace of valid matrimony. The court ruled he did not marry her legally and he was stoned to death."
The government did not return calls seeking comment.

Al Shabaab is fighting to overthrow the weak UN-backed government and impose its own strict interpretation of Islamic law. It was a radical offshoot of the Islamic Courts Union, an alliance of Islamic courts that ruled the capital of Mogadishu and much of the south in 2006.

In recent years al Shabaab has lost control of most towns and cities to a 22,000-strong African Union peacekeeping force supporting the government. But it retains a presence in the countryside and many villages.

Al Shabaab bury man neck-deep, stone him to death for adultery
Lakini kama sheria zao ni kali hivyo,mbona kuna ripoti nilisona mwezi uliopita inaeleza kuwa kuna watu wanatumwa kununua wanawake au kuwadanganya huko Mombasa kuwa wanawapatia kazi na mwisho wa siku wanawapelekea hao wanawake kwaajili ya kukata kiu zao za ngono??
 
Lakini kama sheria zao ni kali hivyo,mbona kuna ripoti nilisona mwezi uliopita inaeleza kuwa kuna watu wanatumwa kununua wanawake au kuwadanganya huko Mombasa kuwa wanawapatia kazi na mwisho wa siku wanawapelekea hao wanawake kwaajili ya kukata kiu zao za ngono??

Ni unafiki tuu, haya mambo yanafaa kuwa ya roho ya mtu binafsi. Wewe hapo kwenye mwezi huu wa ramadhan hujakutana na mtu amevaa kanzu lakini akipata jazba anatukana balaa.
 
Back
Top Bottom