Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother in Kenya.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother

slide_816_14712_large.jpg

Uri Friedman – Thu May 12, 10:03 am ET

ABC News is reporting that Kenyan police are guarding the home of President Obama's step-grandmother in Kenya around the clock after al-Shabaab, a Somalia-based al-Qaeda affiliate, threatened her life. ABC learns that while security was added to Sarah Hussein Obama's house the day after bin Laden's death, the the number of officers has increased since al-Shabaab leveled its threat, to the point where there are now enough officers to patrol her entire village of Kogelo in West Kenya, according to one police chief.

In an interview with ABC, Obama's 88-year-old grandmother didn't seem particularly concerned, however. "My life has not been affected in any way," she said. "If the government has decided to bring more security personnel, we are OK with it."

Following ABC's report, CBS News got in touch with an "expert involved in security matters" at the U.S. embassy in Kenya, who told the news outlet that there is no new or credible threat against "Mama Sarah." CBS adds that "the al-Shabab threat may amount to little more than posturing. Al-Qaeda and its affiliates have issued numerous threats in the wake of bin Laden's killing, most of them broad threats of reprisal against the West and assertions of the groups' continuing relevancy."

Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother - Yahoo! News
 
Al qaeda watakuwa wanatingisha kiberiti tu-ili wajaribu ku-capture attention za watu-ili waonekane kuwa bado wapo strong & active
 
Sasa hawa wapuuzi huyu bibi wa watu kawakosea nini?
Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika ujinga.
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya hana.
 
Ni nani mwenye kujua ukweli huo (uwe wa mema au mabaya) na kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili jamii ziufahamu??

Unampinga Obama at the same time unatukuza alivyowafanyizia hao viongozi wa Kenya, upi msimamo wako?
 
Hapa ndio magaidi wanaponishangaza badala ya kwenda kuwapiga askari wa marekani wao wanatafuta watoto,vibibi na watu ambao hawataweza kupambana nao. Sasa huyu bibi ndiye aliyetuma wae Navy SEALs wakamwue Osama?
 
Ni nani mwenye kujua ukweli huo (uwe wa mema au mabaya) na kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili jamii ziufahamu??

Unampinga Obama at the same time unatukuza alivyowafanyizia hao viongozi wa Kenya, upi msimamo wako?
Haa haa haa! Maswali yako yamenichekesha, sidhani kama ataweza kujibu. Maybe alikuwa na hasira kidogo wakati akibonyeza keyboard. Hata hivyo nimeshangazwa alivyochukizwa na Al-Shabab kuitwa wapuuzi, sijui ni member! Kama si member tumuombee asije akajiunga huko, ni wapuuzi kweli kweli. Mtu unaweza kupoteza maisha bure na kuitesa familia yako shauri ya kujumuika na al-shabab!
 
Hawa Al-qaida si wa kupuuzwa hata kidogo, wanaweza kufanya kitendo chochote cha kustua dunia ili ijulikane kuwa bado wapo..
 
Al-shabab bado ni threat kw dunia,wanajarib kupeleka hisia zetu huko lakn wanaweza kuwa na plan kubwa zaidi..ugaidi ni adui wa maendeleo hasa kwa nchi za Africa!
 
Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother
slide_816_14712_large.jpg

Uri Friedman – Thu May 12, 10:03 am ET

ABC News is reporting that Kenyan police are guarding the home of President Obama's step-grandmother in Kenya around the clock after al-Shabaab, a Somalia-based al-Qaeda affiliate, threatened her life. ABC learns that while security was added to Sarah Hussein Obama's house the day after bin Laden's death, the the number of officers has increased since al-Shabaab leveled its threat, to the point where there are now enough officers to patrol her entire village of Kogelo in West Kenya, according to one police chief.

In an interview with ABC, Obama's 88-year-old grandmother didn't seem particularly concerned, however. "My life has not been affected in any way," she said. "If the government has decided to bring more security personnel, we are OK with it."

Following ABC's report, CBS News got in touch with an "expert involved in security matters" at the U.S. embassy in Kenya, who told the news outlet that there is no new or credible threat against "Mama Sarah." CBS adds that "the al-Shabab threat may amount to little more than posturing. Al-Qaeda and its affiliates have issued numerous threats in the wake of bin Laden's killing, most of them broad threats of reprisal against the West and assertions of the groups' continuing relevancy."

Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother - Yahoo! News

Not all new is news.... Kweli kwenye msafara wa Mamba hata kenge wapo pia.... Kenya find another strategy ya kujitangaza....
 
Huyu bibi hana kosa lolote wao wapambane na marekani sio mtu kama huyu bibi. Hata hivyo Marekani nao wamezidi, kila kitu kinachoendelea humu duniani ni marekani tu, ktk mazingira haya ni lazima wapate maadui wengi, na vikundi kama hivyo vya ugaidi ndipo vinavyozidi maana sasa baada ya ussr kuanguka hakuna nchi yenye ubavu kuikemea marekani
 
Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya
kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika
ujinga.

Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya
hana.
Sasa hapo ndio umeandika nini? Wewe unajua dini yangu au basi tu ndio unakimbilia kuconclude kisa nina mawazo tofauti na wewe?

Msimamo wangu uko pale pale, hao al qaeda, al shabab ni wapuuzi na wataendelea kuwa wapuuzi mpaka siku watakapoamua kuwa wastaarabu na kuacha kuua raia wasio na hatia.

Kama una hasira nenda kajiunge nao ili uwasaidie kupigana.
 
pengine, labda dini yao inawaruhusu kufanya hivyo, maana kila wanapotenda uovu hudani dini/na mungu wao anaridhia

Jamani dini ni kitu very delicate make sure unapo comment dont generalize... why does it always have to be about religion.... Yaani umesoma tu habari basi umeamini, jaribuni kutafakari sometimes mambo ya kutafuniwa sio mazuri, ndo yanayo tufanya tutoe judgement mbaya...
 
Jamani, hii yote mimi nafikiri ni western Propaganda!. na hii inanifanya nianze kuamini kwamba Al-qaeda inatumiwa na CIA kufanikisha agenda zao, ili kuupumbaza umma wa marekani na ulimwengu ujue kwamba tishio ni kubwa sana, na kwa hiyo Vita dhidi ya Ugaidi haina budi iendelee.

sasa jiulize ni nani nayenufaika?, ni makampuni ya silaha, Mabenki yenye kutoa mikopo, na wanasiasa wenye sera za ngangari dhidi ya Alqaeda.
Lengo lingine likiwa ni kuforce globalization kwa nguvu, kwa sababu excuse ya Alqaeda katika eneo fulani ni excuse ya watawala wa Marekani kuwaconvice viongozi wa maeneo hayo waweke Military base zao!.

Kama wewe ni mchunguzi wa mambo nadhani utakuja kufahamu kwamba Marekani inataka kuweka military base Afrika ya Mashariki, na kwa hiyo lazima waweke mazingira ionekane kwamba tishio ni kubwa katika maeneo hayo kwa hiyo hakuna budi kuweka hizo base.
Guys wake up!.
 
Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika ujinga.
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya hana.

hata kama sio muislamu, mkuu nakuunga mkono; dunia imekuwa mhanga wa deformations kuliko al qaeda
 
Ni nani mwenye kujua ukweli huo (uwe wa mema au mabaya) na kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili jamii ziufahamu??

Unampinga Obama at the same time unatukuza alivyowafanyizia hao viongozi wa Kenya, upi msimamo wako?
Nataraji ulikuwa unakusudia pale nilipoandika:
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya hana.
Hapa mbona sioni mgongano wa msimamo wangu!. Niliposema Obama kawawekea ngumu viiongozi wa Kenya sikuwa na maana kuwa Obama alifanya sawa bali nilitaka kuonesha kuwa ni mbaya kwa hata huko alikotokea baba yake.
Watu wenye akili kama zenu daima hamuwezi kutenganisha ukweli na uongo.Na mutaamini kuwa wapo Alqaida na Alshabab wanaouwa watu bure na kutoona muuwaji hasa ni nani.
 
Back
Top Bottom