Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

m2kutu

Senior Member
Apr 5, 2014
125
101
Habar za jioni wadau wa sports,

Mechi ya marudiano kati ya Simba Sc na Al Masri utakaochezwa Jumamosi tarehe 17/3/2018 saa 2.30 usiku saa za afrika mashariki utarushwa live na channel moja ya misri iitwayo DMC Sports.

Nimeona niwajuze channel hii kutokana na malalamiko mengi niliyoyaona kutoka kwa mashabiki wa Simba Sc ambao mpaka leo AZAM TV hawajasema kama watarusha mechi hii na siku zimebaki chache.

Channeli hii inapatikana bure kabisa kwa dish la futi 8 unachotakiwa kufanya ni kutafuta fundi akusetie dish lako kwenye muelekeo sahii wa kupata Nilesat 7 degrees West kisha ajaze frequency basi.

Ni hayo tu wadau..
 
YAANI HAPA HUJATWAMBIA CHOCHOTE ....LETA LINK TUANGALIE KW\ SIMU KAMA INAGONGANA NA MECHI YA YANGA TUTAKUWA TUNAANGALIA YANGA akifanya vyake huko Gabarone ....
 
Back
Top Bottom