K kamba0719 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2018 Posts 804 Reaction score 1,920 Mar 17, 2018 #141 Ila hili neno TUMEKUFA KIUME LITATUMIKA SANA wiki hii.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,246 Mar 17, 2018 #142 kamba0719 said: waarabu wameanza kuchoka naona,speed inaanza kupungua. Click to expand... Waarabu ndio akina nani? Sema al masry.....l
kamba0719 said: waarabu wameanza kuchoka naona,speed inaanza kupungua. Click to expand... Waarabu ndio akina nani? Sema al masry.....l
B Bagamoyo Platinum Member Joined Jan 14, 2010 Posts 32,078 Reaction score 36,915 Mar 17, 2018 #143 Mpira wa kimataifa umekwisha kwa wakongwe wote. Karibuni ligi ya nyumbani, ni salamu toka Chamazi shamba Azam FC.
Mpira wa kimataifa umekwisha kwa wakongwe wote. Karibuni ligi ya nyumbani, ni salamu toka Chamazi shamba Azam FC.