Al-Kaaba: Urithi wa Kipagani na Ibada ya Siri

Al-Kaaba: Urithi wa Kipagani na Ibada ya Siri

Muhammad alikuwa muongo sana

Kaa tulia Soma historia ya ibrahimu , waisrael wameiandika vzr sana, Soma jiografia ya maeneo yake ,Utagundua Muhammad alikuwa muongo na utaachana na uislamu

Mtu anapochunguza kwa makini jambo hili, ni vigumu sana kuamini kuwa Uislamu uko sahihi. Badala yake mtu unasukumwa kuwaza kwamba yamkini Muhammad alianzisha hadithi kama hizi ili kujipa uhalali wa kuwa mtume.

Hebu tutazame hadithi ifuatayo kisha tutajihoji wenyewe maswali kadhaa:

Katika Sahih Bukhari Bk 4, Vol 55, No. 583 tunasoma:

Narrated Ibn Abbas: The first lady to use a girdle was the mother of Ishmael. She used a girdle so that she might hide her tracks from Sarah. Abraham brought her and her son Ishmael WHILE SHE WAS SUCKLING HIM, to a place NEAR THE KA'BA under a tree on the spot of Zam-zam, at the highest place in the mosque. DURING THOSE DAYS THERE WAS NOBODY IN MECCA, NOR WAS THERE ANY WATER So he made them sit over there and placed near them a leather bag containing some dates, and a small water-skin containing some water, and set out homeward.

Maana yake ni kuwa:
Amesimulia Ibn Abbas: Mwanamke wa kwanza kutumia “girdle” (sijajua ni nini hii) alikuwa mama wa Ishmaeli. Alitumia “girdle” ili kuficha nyayo zake Sara asizione. Ibrahimu alimleta yeye pamoja na mwanawe wakati alipokuwa angali anamnyonyesha, hadi karibu na Kaabah chini ya mti, mahali pa Zamzam, mahali pa juu kabisa kwenye msikiti. Katika siku zile hakukuwa na mtu yeyote Makkah, na wala hakukuwa na maji. Kwa hiyo, aliwakalisha chini mahali pale na kuweka karibu yao mfuko wa ngozi wenye tende, na kiriba kidogo cha maji, kisha yeye akarudi nyumbani.

Loh!

Mtu akisoma hivi anaweza kudhani kuwa labda Ibrahimu alitoka nao nyumbani na kwennda nao mwendo wa kama dakika 5 au kumi na kwenda kuwaacha mahali.

Lakini acha tujifunze mambo kadhaa ya msingi sana ndipo turudi kwenye hadithi hii.

1. Ibrahimu hakuwa anaishi Saudi Arabia.
2. Alikuwa anaishi Kaanani karibu na Beersheba.
3. Huo ni umbali wa kilometa karibia 1,500.
4. Enzi hizo hakukuwa na magari.

Sasa hebu fikiria hata wewe mwenyewe:

Mzee wa watu huyu anabeba mwanamke mwenye kitoto kinachonyonya kisha akasafiri nao umbali huo wote (yamkini ni safari ya miezi kadhaa) kwenda mahali ambako:
1. alikuwa hajawahi kwenda
2. hakukuwa na hata tone la maji
3. hakukuwa na nyumba hata moja - maana
4. hakukuwa na mtu hata mmoja

Kisha mzee huyu akawaacha hao wawili hapo na yeye akafunga safari kurudi zake tena kilometa 1,500 hadi Beersheba.

Hivi ni kweli?

Sasa kwa nini Muhammad alikuwa akitunga mambo ambayo ni dhahiri hayana ukweli kiasi hiki?

Bila shaka lengo lake lilikuwa ni kujaribu kuipa dini yake hadhi na uhalali kwa kuihusisha na watu muhimu kama Ibrahimu. Lakini pia Muhammad kwa kuwa alijiita mtume wa Mungu, alifanya kila juhudi kujiungamanisha na mitume wa kweli ili na yeye azidi kukubalika na wale waliomfuata.

Lakini ukweli ni upi?

Tunasoma katika Biblia Mwanzo 16:15-16

Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka themanini na sita, hapo Hajiri alipomzalia Abramu Ishmaeli.

Kisha pia tunasoma Mwanzo 21:5
Naye Ibrahimu alikuwa mtu wa miaka mia, alipozaliwa mwana wake Isaka.

Maana yake ni kuwa wakati Isaka anazaliwa, Ishameli alikuwa na umri wa miaka 14. Hapa yeye na mama yake walikuwa bado wako nyumbani kwa Ibrahimu.

Tunajuaje hilo?
Tunajua kwa kuwa sababu iliyochochea wao kufukuzwa ilikuwa ni hii:

Mwanzo 21:8-9
Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya; Ibrahimu akafanya karamu kuu siku ile Isaka alipoachishwa kunyonya. Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.

Yaani:
Isaka ameachishwa ziwa.
Hapa inawezekana ni miaka kati ya miwili hadi mitatu baada ya kuzaliwa.
Hapo ndipo huyu Ishmaeli alipomfanyia dhihaka Sarah.

Ina maana hapo Ishmaeli ana miaka kwenye 16 – 17.

Kutokana na dhihaka hiyo, ndipo Sarah akamwambia Ibrahimu:
Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka (mwanzo 21:10).

Na kesho yake Ibrahimu alipowaondoa nyumbani, hakuwasindikiza kokote:
Imeandikwa:
Ibrahimu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akimtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba. (Mwanzo 21:14)

Kumbe basi:

Si kweli kama asemavyo Muhammad kuwa Hajiri aliondoka wakati akimnyonyesha Ishmaeli. Na si kweli kwamba Ibrahimu aliwapeleka Makkah. Kwa hiyo, hata habari ya kwamba Ibrahimu aliwahi kufika Makkah ni uongo kabisa.

Ndugu Mwislamu,
Karibu kwa Yesu maana Yeye peke yake ndio Njia, Kweli na Uzima.
Hiyo hadithi ni ya uongo kabisa....
Usijitoe ufaham; hata Biblia inatambua kuwa Abraham alimuacha mtoto Ishmael na mama yake Jangwani na chakula na maji kidogo. Baada ya siku kadhaa, maji waliyokuwa nayo yalipoisha; mama yake (Hagar), alimuacha Ishmael akasogea mbali huku akimlilia mungu; na Mungu akamfanyia maji (chemchem)...
na hapa kuwa na mtu wala mwenyeji yeyote eneo la maka kipindi hicho....iweje hiyo hadith ya uongo itaje sijui msikiti/ alkaaba?
Hii habari ipo kwa Waislam na Wakristo japo; kwa wakristo ime elezewa kwa kile walichotaka watu wao wajue.....
 
😁😁 hizi dini aisee.. hapo bado, bado sana, sio uislamu tu, hata huo ukristo ni ushirikina mtupu, ni vile tu watu hawajui wala kuyatafakali yale maandiko.

Kabla sijapata mwanga wa kuyajua maovu ya hizi dini nilikuwa nayaona maandiko kama wanaotufundisha wanataka tuyaone, lkn kiuhalisia, kuna mambo mazito na magumu ktk hivyo vitabu vyenu vya kidini.

Secret societies wanaonufaika na hizi dini wanaojua hasa nini maandiko yanamaanisha hawasomi hivi vitabu kama mnavyosoma wafuasi wa kidini.

Ktk Quran+Biblia kuna mistari imekubali na inabariki ushoga, lkn kwa macho ya ufia dini hutoona na hatowai kuyaelewa hayo maandiko, ndiomaana mashoga wakuu wanatokea ktk dini.

Ktk ukristo na uislamu kuna maandiko yanayokili kuwa Mungu wa hizo dini ndie yule ambaye mnamuita shetan, na shetani mnaemtambua ni sehemu ndogo sana ya jeshi la huyu mnaemuita Mungu.
Pia hakuna dini ina maelfu ya mashetani yanayoabudiwa kama ukristo, watu hudhani ni uislamu pekee unawakubali majini lkn ktk ukristo majini wamepewa majina mazuri ya kupendeza ambayo yamevikwa vyeo vya umalaika huko mbinguni, ndiomana ktk makanisa hakuishi vituko vya kila namna, maigizo ya kila namna, ujinga na upumbavu umejaa makanisani.

Vile vile dini zenu kuna mistari ipo open kabisa na kila siku mnaisoma lkn mnashindwa kutambua maana yake, mnatafsiri kwa mlivyokalilishwa lkn baadhi huwa mnashituka ndio mnaokuja kuhoji lakin hampewi majibu ya kueleweka, Ndiomana waabudu sanamu/hao mnaowaita freemason/illuminati wanatumia hivi vitabu ambayo mnasema vya Mungu, je kwanini wavitumie na vinawapa majibu na nguvu kuliko ninyi wafuasi wa dini?.

Ktk ukristo na uislamu hizi dini zimeruhusu mauwaji, makafara, ushirikina, matambiko na ibada kwa mashetani, mistari ipo lkn mfuasi wa dini anaposoma anahisi anamtumikia huyo Mungu kivuli asiyemjua zaidi ya kusimuliwa.

Hakuna uchawi/ulozi mkubwa/utumwa kuliko wa hizi dini, dini ndio kifungo kikuu kwa mtu ambacho kinashikilia ufahamu wake wa mwili, nafsi mpaka roho, yaani kukupa matumaini ambayo hayapo.

Kuwarahisishia story, ktk vitabu vyenu kuna mistari inayodai kuwa Shetan baada ya kufukuzwa Mbinguni aliapa kufanya vita na watu/wanadamu huku akijipa Uungu kuabudiwa jambo ambalo ndilo hili mnaliona sasa, yaani mtegemee huyo jamaa aruhusu muujue ukweli kupitia dini?, Dini zinazoongozwa na watu wachafu na washenzi kama hao wazungu+waarabu?, watu ambao ktk maovu walichobakisha labda ni kitu kidogo sana, then hawa ndio wakuletee mafundisho ya kumjua MUUMBA WA KWELI?.

BITTER TRUTH...kama upo ktk dini na umekuwa mwaminifu ktk mafundisho tambua kuwa umepoteza muda, Allah, Yesu, Elshadai, elohim na majina mengine mnayowaita hawa Miungu wenu hayatowakomboa wala kuwasaidia kitu.

La mwisho, unapohukumu dini ya mwenzio nawewe kama bado unafuata dini fulani unatakiwa kuhakikisha dini yako imenyooka na haina mikanganyiko, mkristo kumcheka muislamu ni ujinga maana wote ni wale wale mnaabudu Miungu ya majina tofauti lkn wote mko chini ya Control ya kiumbe kimoja.

Huyo mnaemuita shetani, si mjinga, narudia tena shetani wa ukweli si mjinga, anayajua mengi kuliko kiumbe chochote kile duniani, ana njama nyingi za kuwaangamiza watu/wanadamu, hamuwezi kumshinda kupitia huo UPUMBAVU wa uislamu+ukristo
 
Hii ni Al-Kaaba ikiwa imetandwa shuka jeusi. Kiswah, kitambaa chenye aya za Qur’an zilizochorwa kwa uzi wa dhahabu, kimeundwa kwa vipande 41 na hubadilishwa kila mwaka.

(Kaaba History, Sabir Khan)

View attachment 3542147

Exoteric meaning (kwa waumini au Maamuma)

Hawa Mimi nawaita tabaka la chini,maamuma, huambiwa Al-Kaaba ni nyumba ya Mungu, ishara ya tauhidi, na Jiwe limekuwa Jeusi sababu ya dhambi za wanadamu.

Hadith inasema

The Black Stone descended from Paradise whiter than milk, but the sins of the children of Adam made it black.”(Sahih al-Bukhari, Kitabu 93, Hadith 512)

Hawa maamuma ,huambiwa hili Jiwe Jeusi lilipoteza rangi yake ya asili nyeupe kutokana na dhambi za wanadamu,hapo tayari Hawa maamuma wanakuwa wameshadanganywa ,ili Hali ile rangi nyeusi ni kile kitambaa (KISWA).

Al-Kaaba kama Urithi wa Kipagani (Esoteric meaning)

Sasa nije kwa upande wa wale wachache wanaopewa Siri ,achana na wale maamuma ,kama ninavyosema siku zote ,Kwenye hizi dini Kuna tabaka mbili, Esoteric na Exoteric meaning ya kila kitu, chunguza mwenyewe utajua.

Colin Wilson, mwanazuoni na mtafiti wa occult, anasema

Njia ni mali ya Zohali (Saturn), na rangi ya Zohali ni nyeusi.”

(The Black Arts, UK, p. 47)

Wilson anasema wazo la kwamba rangi nyeusi ya Kiswah si tu utambulisho Fulani bali ni ishara ya ibada za Saturn, mungu wa giza na ambaye ni kutoka dini za kale za kipagani.

Theosophy Trust inasema

Saturn's colour, black, and his emblem, the sarcophagus, accompany the soul as it emulates the planetary god's involvement in the feminine principle.(Saturn, p.2)

Hapa anasma rangi nyeusi na nembo ya sarcophagus inawakilisha maana ya mystical energy, ikionyesha kuunganishwa kwa nguvu za cosmic na kanuni za kike.,ndio maana chunguza ile alkaaba inakuwa kama ni uzazi wa kike

View attachment 3542150

Alexander Hislop anasema

“Islam, like other systems, absorbed symbols already sacred in the ancient world.

(The Two Babylons, p.343)

Hislop Uislamu kama mifumo mingine umebeba alama za kipagani za zamani .

View attachment 3542154
Al-Kaaba ni ibada za Babeli, akionyesha jinsi uislamu ulivyoingiza alama na mila za kipagani.
View attachment 3542152

Albert Pike mwanazuoni wa freemason anasema

The black stone was a universal symbol of the generative principle long before Islam.”

(Moral and Dogma, p.221)

Pike anathibitisha kuwa Jiwe Jeusi lilikuwa alama ya nguvu ya uzazi na cosmic energy kabla ya Uislamu.

View attachment 3542158

Rudolf von Sebottendorff anasema

The sacred letters and stones are not mere decoration; they are living forces corresponding to cosmic realities.”

(Secret Practices of the Sufi Freemasons, p.41)

Hapa, Sebottendorff anathibitisha kuwa Jiwe Jeusi na Kiswah si mapambo tu, bali ni nyenzo zinazochangia nguvu za cosmic, zinazopatikana kwa wachache tu waliopitishwa.

Kwenye Uislamu Kuna kundi hasa la Sufi Freemason Hawa ndio wanaopewa Siri za ndani (ESOTERIC) ndio Hawa wanaotumia Quran kurogea ,kuita majini ,kutumia TALASIMU , wanakuwa pia na zile Symbols ambazo wewe maamuma huwezi kuzielewa .

Nitakupa mfano kama hizi 👇

View attachment 3542166

Panapo majaaliwa nitakuja wiki nzima kuwaelezea Hawa Sufism ndani ya Uislamu,Hawa ndio wanafahamika kwa kuujua ule uislamu wa ndani (ESOTERIC ISLAM)

Hawa ndio wanajua kucheza na Aya za Quran kwa kuroga mtu au kufanya ritual kama Albadil.

Hata zile HERUFI ambazo zipo ndani ya Quran zinasemwa haIjulikani maana yake Hawa wanajua kucheza nazo.

Geometry na Nyota za Hexagram

Richard C. Hoagland anasema

A Hexagon is a 2D projection of 2 interlocking 3D tetrahedrons one inside each other. Think of it as a 3D version of the Israeli flag or the Jewish Star.”(Hyperdimensional Hexagon, Coast to Coast)

Mchemraba wa Al-Kaaba unaambatana na Hexagram, alama inayojulikana katika Freemasonry na mystical symbolism.

View attachment 3542170

Webster’s Encyclopedia inasema

“Many of the world’s religious institutions conceal a deeper esoteric knowledge for initiates alone.” (UK, p.112)

Anasema kwenye hizi dini ni Wachache tu ndio wanapewa zile Siri za ndani .Nyie maamuma ambao ni wengi mtapewa zile maana rahisi tu kuwa hii ni ibada kwa Allah, n.k

Mfano Wachache waliopitishwa wanaona Al-Kaaba kama focal point ya esoteric knowledge, ikijumuisha cosmic forces, planetary energy, na alchemy.

Tawaf = planetary alignment
Jiwe Jeusi = sarcophagus ya Saturn
Kiswah = black magic symbolism
Hexagram na mchemraba = sacred geometry inayofundisha occult power

Biblia inatoa onyo

“They sacrificed unto devils, not to God; to gods whom they knew not, to new gods that came newly up, whom your fathers feared not.” (Yoshua 23:16)

Mungu anakemea ibada yoyote inayohusisha miungu ya giza au rituals za siri, akionyesha wazi hatari ya kuendeleza urithi wa paganism.
View attachment 3542179View attachment 3542182

Unachokiita esoteric Islam ni conspiracy, si Uislamu.

Kiswah si Jiwe Jeusi, na hadith ya Bukhari inahusu jiwe, si kitambaa — hapo tayari hoja imeanguka.

Uislamu hauna tabaka la siri za ibada; Qur’an ni wazi kwa wote (Qur’an 16:89), na uchawi, talasimu na kuroga ni haramu (Qur’an 2:102).

Kunukuu Pike, Hislop au Wilson hakufanyi madai yawe kweli — si wanazuoni wa Kiislamu, ni waandishi wa nadharia za siri.

Kaaba si Saturn, Tawaf si ibada ya sayari — Mungu Mmoja tu ndiye anaabudiwa.

Hii si elimu, ni kuchanganya occult na picha kisha kuwaita Waumini “maamuma”.
 
Huju jamaa na post zake za kuchafua Uislam kila kukicha akifikiri Waislam wote hawajaenda shule...
 
😁😁 hizi dini aisee.. hapo bado, bado sana, sio uislamu tu, hata huo ukristo ni ushirikina mtupu, ni vile tu watu hawajui wala kuyatafakali yale maandiko.

Kabla sijapata mwanga wa kuyajua maovu ya hizi dini nilikuwa nayaona maandiko kama wanaotufundisha wanataka tuyaone, lkn kiuhalisia, kuna mambo mazito na magumu ktk hivyo vitabu vyenu vya kidini.

Secret societies wanaonufaika na hizi dini wanaojua hasa nini maandiko yanamaanisha hawasomi hivi vitabu kama mnavyosoma wafuasi wa kidini.

Ktk Quran+Biblia kuna mistari imekubali na inabariki ushoga, lkn kwa macho ya ufia dini hutoona na hatowai kuyaelewa hayo maandiko, ndiomaana mashoga wakuu wanatokea ktk dini.

Ktk ukristo na uislamu kuna maandiko yanayokili kuwa Mungu wa hizo dini ndie yule ambaye mnamuita shetan, na shetani mnaemtambua ni sehemu ndogo sana ya jeshi la huyu mnaemuita Mungu.
Pia hakuna dini ina maelfu ya mashetani yanayoabudiwa kama ukristo, watu hudhani ni uislamu pekee unawakubali majini lkn ktk ukristo majini wamepewa majina mazuri ya kupendeza ambayo yamevikwa vyeo vya umalaika huko mbinguni, ndiomana ktk makanisa hakuishi vituko vya kila namna, maigizo ya kila namna, ujinga na upumbavu umejaa makanisani.

Vile vile dini zenu kuna mistari ipo open kabisa na kila siku mnaisoma lkn mnashindwa kutambua maana yake, mnatafsiri kwa mlivyokalilishwa lkn baadhi huwa mnashituka ndio mnaokuja kuhoji lakin hampewi majibu ya kueleweka, Ndiomana waabudu sanamu/hao mnaowaita freemason/illuminati wanatumia hivi vitabu ambayo mnasema vya Mungu, je kwanini wavitumie na vinawapa majibu na nguvu kuliko ninyi wafuasi wa dini?.

Ktk ukristo na uislamu hizi dini zimeruhusu mauwaji, makafara, ushirikina, matambiko na ibada kwa mashetani, mistari ipo lkn mfuasi wa dini anaposoma anahisi anamtumikia huyo Mungu kivuli asiyemjua zaidi ya kusimuliwa.

Hakuna uchawi/ulozi mkubwa/utumwa kuliko wa hizi dini, dini ndio kifungo kikuu kwa mtu ambacho kinashikilia ufahamu wake wa mwili, nafsi mpaka roho, yaani kukupa matumaini ambayo hayapo.

Kuwarahisishia story, ktk vitabu vyenu kuna mistari inayodai kuwa Shetan baada ya kufukuzwa Mbinguni aliapa kufanya vita na watu/wanadamu huku akijipa Uungu kuabudiwa jambo ambalo ndilo hili mnaliona sasa, yaani mtegemee huyo jamaa aruhusu muujue ukweli kupitia dini?, Dini zinazoongozwa na watu wachafu na washenzi kama hao wazungu+waarabu?, watu ambao ktk maovu walichobakisha labda ni kitu kidogo sana, then hawa ndio wakuletee mafundisho ya kumjua MUUMBA WA KWELI?.

BITTER TRUTH...kama upo ktk dini na umekuwa mwaminifu ktk mafundisho tambua kuwa umepoteza muda, Allah, Yesu, Elshadai, elohim na majina mengine mnayowaita hawa Miungu wenu hayatowakomboa wala kuwasaidia kitu.

La mwisho, unapohukumu dini ya mwenzio nawewe kama bado unafuata dini fulani unatakiwa kuhakikisha dini yako imenyooka na haina mikanganyiko, mkristo kumcheka muislamu ni ujinga maana wote ni wale wale mnaabudu Miungu ya majina tofauti lkn wote mko chini ya Control ya kiumbe kimoja.

Huyo mnaemuita shetani, si mjinga, narudia tena shetani wa ukweli si mjinga, anayajua mengi kuliko kiumbe chochote kile duniani, ana njama nyingi za kuwaangamiza watu/wanadamu, hamuwezi kumshinda kupitia huo UPUMBAVU wa uislamu+ukristo

Unachokiandika sio “bitter truth”, ni mchanganyiko wa hasira, dhana binafsi, na conspiracy bila uthibitisho wa maandiko kwa muktadha wake.
Kusema Qur’an na Biblia zinabariki ushoga, uchawi, mashetani na shetani kuwa Mungu bila aya wazi + muktadha si tafakuri, ni kudai.

Ukisema kila kitu ni hila ya shetani, basi hata wewe unayesema hayo uko ndani ya hila hiyo hiyo, kwa sababu hakuna kipimo cha ukweli kinachobaki.

Biblia inasema: “Wachunguzeni roho, kuona kama watoka kwa Mungu.” (1 Yohana 4:1)

Qur’an inasema: “Je, hawaitafakari Qur’an?” (Qur’an 4:82)

Dini hazikatazi kufikiri — zinakataza kufikiri bila uadilifu.

Kukataa kila kitu hakukufanyi huru; kunakufanya mtumwa wa dhana zako mwenyewe.

Kama una ukweli, ulete kwa aya wazi, muktadha, na mantiki — sio kwa hasira na kejeli.
 
Chizi Maarifa una maoni gani juu ya hoja hiyo?

Kiapo cha utii kwa kipenzi chetu cha moyo al kahab kaaba.

Huyu Hamis anaweka wazi mambo ambayo hatutaki watu wafahamu nitamwonesha siku nikimkamata. Amesabisha waislamu wengi kuanza kufunguka macho. Sipendi kabisa hii tabia. Wallah wabillah sisi waislamu mnatuita kobaz wavaa vipedo tuna hasira sana na nyie.
 
Wanahitaji msaada sana wa kiroho

Wewe watu wanaamini mbingu ya kwenda kunywa pombe na kulala na wanawake kitu ambacho ni kazi za shetani
Baba yako halali na mwanamke, biblia haitukuzi pombe!?
 
Mbona namba ya Hadith inazungumzia wivu wa sa'd kwa mkewe na si jiwe la Kaaba?
Sahih Bukhari Volume 9, Book 93, Hadith Number 512. - Hadith Collection Sahih Bukhari Volume 9, Book 93, Hadith Number 512. - Hadith Collection
Inategema na kitabu cha Hadith ,

Haya kaisome hapa 👇

Hiyo hadithi ni ya uongo kabisa....
Usijitoe ufaham; hata Biblia inatambua kuwa Abraham alimuacha mtoto Ishmael na mama yake Jangwani na chakula na maji kidogo. Baada ya siku kadhaa, maji waliyokuwa nayo yalipoisha; mama yake (Hagar), alimuacha Ishmael akasogea mbali huku akimlilia mungu; na Mungu akamfanyia maji (chemchem)...
na hapa kuwa na mtu wala mwenyeji yeyote eneo la maka kipindi hicho....iweje hiyo hadith ya uongo itaje sijui msikiti/ alkaaba?
Hii habari ipo kwa Waislam na Wakristo japo; kwa wakristo ime elezewa kwa kile walichotaka watu wao wajue.....
Kijana Inaonekana hii dini umeikurupukia ,waulize wenzako twende hoja kwa hoja ,

Ni kweli Biblia inasema Hajir na Ishmael waliingia jangwani, lakini wewe umeongeza vitu ambavyo HAVIPO kabisa kwenye Biblia,

halafu unajaribu kusema Wakristo walificha baadhi ya habari.

Huo ni uongo wa wazi.
Tuangalie maandiko, si hadithi zako.

Biblia inasema wazi kabisa👇👇
Mungu akafungua macho yake, akaona kisima cha maji.”
(Mwanzo 21:19)

Biblia haisemi
kuwa hicho kisima kinaitwa Zamzam
kuwa kiko Mecca
kuwa kiko karibu na Kaaba
kuwa kiliendelea kuheshimiwa au kuabudiwa
kuwa ni maji ya hija au tiba

Wewe umeongeza hayo yote kutoka hadithi za Kiislamu, si Biblia. Huo tayari ni upotoshaji.

Sasa hoja yako kubwa unasema

“Hata Biblia inakubali…”

Lakini Biblia inakataa kabisa Mecca.

Biblia inasema wazi walipotelea

“akapotea katika jangwa la Beer-sheba”
(Mwanzo 21:14)

Beer-sheba iko Kusini mwa Kanaani (Israel ya leo), si Saudi Arabia.

Umbali wa Beer-sheba hadi Mecca ni zaidi ya kilometa 1,500.

Hakuna ramani ya kihistoria, ya Biblia, wala ya akiolojia inayowahi kuhusisha Ibrahimu na Mecca. Hakuna.

Sasa uongo wako mwingine unasema

iweje hadithi ya uongo itaje msikiti/alkaaba?”

Hapa unajidanganya mwenyewe.
Hadithi ya Bukhari ndiyo inayosema

“mahali pa juu kabisa kwenye msikiti”

Lakini
Enzi za Ibrahimu hakukuwa na msikiti
Hakukuwa na Kaaba
Hakukuwa na Uislamu
Hakukuwa na hija

Hiyo lugha ni ya karne ya 7 BK, si ya karne ya 19 KK ya Ibrahimu.

Hiyo peke yake inaonesha wazi kuwa hadithi hiyo ilitungwa baadaye, ikirudishwa nyuma kimakusudi.

Sasa uongo wako wa mwisho unasema

“kwa Wakristo imeelezewa kwa kile walichotaka watu wao wajue”

Huu ni uongo mwingine.
Biblia iliandikwa karne zaidi ya 1,000 kabla ya Muhammad.

Hakukuwa na sababu wala haja ya “kuficha Mecca” kwa sababu

Mecca haikuwepo kwenye historia ya Ibrahimu
Kaaba haikuwepo
Zamzam haikutajwa

Ishmael hakupelekwa Saudi Arabia
Kinyume chake, Muhammad ndiye aliyekuja baadaye, akaunganisha hadithi za Kiyahudi na Kikristo, akaongeza
Mecca
Kaaba
Zamzam
Jiwe jeusi
ili kuipa dini yake uhalali wa kihistoria kwa kujihusisha na Ibrahimu.

Ukweli mchungu ni huu:
Ibrahimu
aliishi Kanaani
alitembea Misri hadi Kanaani
alizikwa Hebron
hakuwahi kufika Mecca
hakuwahi kujenga Kaaba
hakuwahi kuweka jiwe jeusi

Kwa hiyo kusema

Biblia inakubali Mecca na Zamzam
ni uongo wa makusudi.

Na nikuambie wazi ,Hadithi za Kaaba, Zamzam na jiwe jeusi si historia, ni ngano za Kiislamu zilizotungwa baada ya Muhammad.

Ndiyo maana mtu anayechunguza kwa akili timamu na historia ya kweli, anaacha Uislamu, kwa sababu haujajengwa juu ya ukweli bali juu ya hadithi zilizobadilishwa.

Yesu ndiye Njia, Kweli na Uzima.
Si Mecca, si Kaaba, si Zamzam.
 
Kiapo cha utii kwa kipenzi chetu cha moyo al kahab kaaba.

Huyu Hamis anaweka wazi mambo ambayo hatutaki watu wafahamu nitamwonesha siku nikimkamata. Amesabisha waislamu wengi kuanza kufunguka macho. Sipendi kabisa hii tabia. Wallah wabillah sisi waislamu mnatuita kobaz wavaa vipedo tuna hasira sana na nyie.

HUYU HAMISS77, NI KATI YA WAPOTOSHAJI WAKUBWA.....
Ni sawa na kuambia watu kuwa; CCM maana yake ni Chama Cha Mambuzi na sio CHAMA CHA MAPINDUZI au kusema FFU ni fanya fujo Uone na sio Field Force Unit nk nk
yaani anachukua habari sahihi; anaifanyia tafsiri anayotaka....AKIJUA WATU WOTE NI WAJINGA WA KUMUAMINI......Shame on him!!!

HUYU; KAMA AMESOMA BIBLIA/AGANO LA KALE, IWEJE HAJUI HABARI ZA ISHMAEL NA MAMA YAKE AMBAZO ZIME ELEZWA VIZURI, SAWA SAWA NA KWA WAISLAM? ANAKUJA HAPA KUTULETEA HADITHI FEKI ZA KITAPELI eti Ishmael alipeleka mjini Maka kukiwa na msikiti, Wakati Biblia inatuambia kabisa, kuwa waliachwa jangwani na hapakuwa na kitu chochote..... Shame on him!!!
UTAONA KABISA ANAKWEPA HIZI HABARI KWA SABABU NDIPO MSINGI WA UISLAM ULIPO (AL-KAABA nk nk)

NAAMINI HATA YESU HAWEZI KUKUBALI WAPOTOSHAJI KAMA HAWA, ETI NI WAFUASI WAKE?
AENDELEE TU NA HUU UPOTOSHAJI SIKU ZA MWISHO, YESU AMKATAE NDIO ATAJUA HAJUI!!!
 
Naomba rejea ya kauli yako kutoka kwenye Biblia ili tulinganishe ulichosema na kilichoandikwa kama vinafanana.
 
HUYU HAMISS77, NI KATI YA WAPOTOSHAJI WAKUBWA.....
Ni sawa na kuambia watu kuwa; CCM maana yake ni Chama Cha Mambuzi na sio CHAMA CHA MAPINDUZI au kusema FFU ni fanya fujo Uone na sio Field Force Unit nk nk
yaani anachukua habari sahihi; anaifanyia tafsiri anayotaka....AKIJUA WATU WOTE NI WAJINGA WA KUMUAMINI......Shame on him!!!

HUYU; KAMA AMESOMA BIBLIA/AGANO LA KALE, IWEJE HAJUI HABARI ZA ISHMAEL NA MAMA YAKE AMBAZO ZIME ELEZWA VIZURI, SAWA SAWA NA KWA WAISLAM? ANAKUJA HAPA KUTULETEA HADITHI FEKI ZA KITAPELI eti Ishmael alipeleka mjini Maka kukiwa na msikiti, Wakati Biblia inatuambia kabisa, kuwa waliachwa jangwani na hapakuwa na kitu chochote..... Shame on him!!!
UTAONA KABISA ANAKWEPA HIZI HABARI KWA SABABU NDIPO MSINGI WA UISLAM ULIPO (AL-KAABA nk nk)

NAAMINI HATA YESU HAWEZI KUKUBALI WAPOTOSHAJI KAMA HAWA, ETI NI WAFUASI WAKE?
AENDELEE TU NA HUU UPOTOSHAJI SIKU ZA MWISHO, YESU AMKATAE NDIO ATAJUA HAJUI!!!

CCM maana yake ni CHAMA CHA MAJAMBAZI siyo Mambuzi. NIKUREKEBISHE HAPO.

Huyu hamis anatuweka wazi sana mambo anayoandika hayakupaswa kujulishwa kwa watu. Anauweka wazi uislamu kiasi inakuwa ngumu sasa kuwashawishi watu kujiunga na uislam. Haya mambo anayaandika nshamwambia mimi si matangazo. Maana waislamu wengi maamuma huwa hatuangalii hayo. Yeye anayaleta. Wallah ataenda motoni kwa kuandika haya. Na namwambia siku nikionana naye... Tutagawana majengo ya serikali
 
Back
Top Bottom