Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 612
- 1,131
Sasa mbona umeandik wachina wanavotuona sisi, na si wanavokuona weweMiaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.
But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.
Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.
But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.
View attachment 2944391