Heshima Mbele,
Kuna mambo matatu nataka kujua
1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa
2. Je familia yake ya Zanzibar iko karibu na familia ya nani?
3. Shareholders wa Dowans kwa upande wa Tanzania ni kina nani (the name of the company please)
Am trying to connect to the dot about one things..nimeanza kuogopa!
Heshima Mbele,
Kuna mambo matatu nataka kujua
1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa
2. Je familia yake ya zanzibari iko karibu na familia ya nani?

duh haya yote tumeshayasema mkuu.. anaitwa Brig. Gen. Suleiman Yahya Mohammed Al-Adawi.. alizaliwa miaka ya hamsini na kuondoka Zanzibar miaka michache kabla ya mapinduzi ya Zanzibar.. familia yake ina nyumba Dar na Zanzibar (ana ndugu zake wengi tu na wana biashara kadhaa). Ana ukaribu wa mahusiano na Rostam na watawala wa Zanzibar.. pia vyanzo vya intelligencia vinadokeza kuwa ana mahusiano ya karibu na watu wa CUF hususan mmoja wa viongozi wakuu wa CUF..
Ni mwanajeshi? wa jeshi lipi? la taifa gani?duh haya yote tumeshayasema mkuu.. anaitwa Brig. Gen. Suleiman Yahya Mohammed Al-Adawi.. alizaliwa miaka ya hamsini na kuondoka Zanzibar miaka michache kabla ya mapinduzi ya Zanzibar.. familia yake ina nyumba Dar na Zanzibar (ana ndugu zake wengi tu na wana biashara kadhaa). Ana ukaribu wa mahusiano na Rostam na watawala wa Zanzibar.. pia vyanzo vya intelligencia vinadokeza kuwa ana mahusiano ya karibu na watu wa CUF hususan mmoja wa viongozi wakuu wa CUF..
Ni mwanajeshi? wa jeshi lipi? la taifa gani?
duh haya yote tumeshayasema mkuu.. anaitwa Brig. Gen. Suleiman Yahya Mohammed Al-Adawi.. alizaliwa miaka ya hamsini na kuondoka Zanzibar miaka michache kabla ya mapinduzi ya Zanzibar.. familia yake ina nyumba Dar na Zanzibar (ana ndugu zake wengi tu na wana biashara kadhaa). Ana ukaribu wa mahusiano na Rostam na watawala wa Zanzibar.. pia vyanzo vya intelligencia vinadokeza kuwa ana mahusiano ya karibu na watu wa CUF hususan mmoja wa viongozi wakuu wa CUF..
Ni mwanajeshi? wa jeshi lipi? la taifa gani?
Oman...
Kwahiyo hana uraia kabisa wa Tanzania (that means aliukana), Hivi hana nyumba au biashara (zaidi ya nyumba na biashara za familia)? Unajua mtu aliyekimbia kipindi cha heka heka za kutafuta uhuru, akaenda nchi nyingine na kupewa nafasi hata kuwa Brg. ni mtu hatari kumpatia nafasi ya kujinafasi kwenye biashara au siasa za nchi yetu kwani hana uzalendo. Mambo haya yasipothibitiwa tutaingia kwenye ubaguzi na waasia ndo wataathirika sana, dharau zao zinafika pabaya sasa.
mwanakijiji je huyu ana uhusiano na brigedia al hardhi wa oman ambaye ana ndugu znz na tanga ??
Kwahiyo hana uraia kabisa wa Tanzania (that means aliukana), Hivi hana nyumba au biashara (zaidi ya nyumba na biashara za familia)? Unajua mtu aliyekimbia kipindi cha heka heka za kutafuta uhuru, akaenda nchi nyingine na kupewa nafasi hata kuwa Brg. ni mtu hatari kumpatia nafasi ya kujinafasi kwenye biashara au siasa za nchi yetu kwani hana uzalendo. Mambo haya yasipothibitiwa tutaingia kwenye ubaguzi na waasia ndo wataathirika sana, dharau zao zinafika pabaya sasa.
Heshima Mbele,
Kuna mambo matatu nataka kujua
1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa
2. Je familia yake ya zanzibari iko karibu na familia ya nani?
3. Shareholders wa Dowans kwa upande wa Tanzania ni kina nani (the name of the company please)
Am trying to connect to the dot about one things..nimeanza kuogopa!
Heshima Mbele,
Kuna mambo matatu nataka kujua
1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa
2. Je familia yake ya zanzibari iko karibu na familia ya nani?
3. Shareholders wa Dowans kwa upande wa Tanzania ni kina nani (the name of the company please)
Am trying to connect to the dot about one things..nimeanza kuogopa!
Ni kweli alikuwapo Zanzibar kiasi cha wiki tatu zilizopita kwa hakika. Rostam alikwenda huko kuonana naye kama kawaida yao. Al Adawi ambaye alikuwa ADC wa Mfalme wa Oman, ni mtu muhimu sana kwa siasa za TAnzania. Ana majumba mawili ya kifahari katika beach za East eneo la Bwejuu na West Coast eneo la MAzizini. Mazizini aliuziwa kwa bei ya bure na Dk; Salmin Amour nyumba ya serikali na aliibomoa na kujenga kasri. Ahsante Gembe kutuzindua, tunamrafuta.
Kwa kweli sijui.. nadhani anajitambulisha zaidi kama Mzanzibari kuliko Mtanzania.. sijui kama amewahi kuwa raia wa TAnzania.
Ni kweli alikuwapo Zanzibar kiasi cha wiki tatu zilizopita kwa hakika. Rostam alikwenda huko kuonana naye kama kawaida yao. Al Adawi ambaye alikuwa ADC wa Mfalme wa Oman, ni mtu muhimu sana kwa siasa za TAnzania. Ana majumba mawili ya kifahari katika beach za East eneo la Bwejuu na West Coast eneo la MAzizini. Mazizini aliuziwa kwa bei ya bure na Dk; Salmin Amour nyumba ya serikali na aliibomoa na kujenga kasri. Ahsante Gembe kutuzindua, tunamrafuta.
Aliondoka wakati Tanzania haijulikani au haijawa Tanzania, kwa mujibu wa habari za Mwanakijiji (sijui ukweli wake) kuwa aliondoka kabla ya mapinduzi, wakati huo kulikuwa hakuna Tanzania.
Kwa nini ushikilie kakimbia? alichokikimbia ni nini? pengine aliondoka kwenda masomoni nje na akapata ulaji huko huko kama ilivyo kwa wengi wa wana JF?
well, sasa ameruhusiwa vipi kumiliki ardhi na nyumba wakati si Mtanzania?
Nadhani sheria inamruhusu.
Ukiwa Mzanzibari moja kwa moja wewe ni Mtanzania. Lakini unaweza kuwa Mtanzania pasipo kuwa wewe ni Mzanzibari. Uraia una ncha nyingi , na ya muhimu ni nile ya kuwa raia wa kuzaliwa, na kutoukana uraiawako wa kuzaliwa.well, sasa ameruhusiwa vipi kumiliki ardhi na nyumba wakati si Mtanzania?