Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
- Thread starter
- #21
wala sijui... Hivi taifa stars na namibia nani alishinda? Nasikia matokeo mawili tofauti...
tbc nasikia watarusha. Game iliisha sare
wala sijui... Hivi taifa stars na namibia nani alishinda? Nasikia matokeo mawili tofauti...
Wala sijui... Hivi Taifa Stars na Namibia nani alishinda? nasikia matokeo mawili tofauti...
Hahahaha unatafuta ugomvi na Kilakshari ... atashangaa matokeo ya taifa stars hujui ila ya 76er unayafahamu vizuri.... Tanzania tulitoka sare 1-1 ... kwani wewe umesikia vipi?
Back to the topic: Yanga kesho lazima heshima iwepo mjini
Yaani nyie simba mbulula kweli mnaacha kwenda bunju kufyeka uwanja mnakaa kuwashabikia tim bak alahly Hivi mashabiki wote waliokuwa uwanjani siku ya mechi ya yanga na Alahly wangetumia nguvu zao kwenda kufanya kazi bunju na Viingilio walivyotumia wange vipeleka Kwenye Club hata vikatumika kununulia Mafyekeo au hata mashoka mana niliona picha moja hata vitendea kazi vilikuwa havitoshi Simnge piga hatua Bunju? Ila tunawashukuru kwakuhudhuria uwanjani mana mmeiongezea Yanga mapato japo mling'oa Viti.ngoja kwanza liishe hili la waarabu....
Dah kumbe ni kwa walio Bongo tu... Kuna mtu anajua link itakayoonyesha online tuwaangalie vijana?tbc nasikia watarusha. Game iliisha sare
Kilakshari atakuwa alichukia.... nilisikia tuliwagonga 1-0 kwao....76ers michosho ovyo kama Man utd
Mkuu mimi nipo AZAM FC. MIKIA NDO WAMEIBA VITI PALE TAIFA WAMEPELEKA SHAMBANI BUNJU! WIKI IJAYO TUNAENDA KUKAGUA KULE OLE WAO TUKUTE VITI VYA UWANJA WA TAIFA
najua waarabu hawana masihara.......lazima yeboyebo warudi vichwa chini hapa...na watapoteana tu......airport Dsm kila mmoja na njia yake..
waarabu si watu wa masikhara hata kidogo- yanga lazima wakalie tu--heshima itarudi tu wewe subiri uone.
Ha ha ha....!hv cku ile ulivunja viti vingapi vile!?
Yaani nyie simba mbulula kweli mnaacha kwenda bunju kufyeka uwanja mnakaa kuwashabikia tim bak alahly Hivi mashabiki wote waliokuwa uwanjani siku ya mechi ya yanga na Alahly wangetumia nguvu zao kwenda kufanya kazi bunju na Viingilio walivyotumia wange vipeleka Kwenye Club hata vikatumika kununulia Mafyekeo au hata mashoka mana niliona picha moja hata vitendea kazi vilikuwa havitoshi Simnge piga hatua Bunju? Ila tunawashukuru kwakuhudhuria uwanjani mana mmeiongezea Yanga mapato japo mling'oa Viti.
Yanga,ikifungwa ntafurahi sana
Habari za bunju kazi inaendeleaje huko leo ni siku ya tisa jaman vip watu wanajitokeza kama walivyo jitokeza kujenga jengo la club pale kwenye msonga mano?
ahaahaa..tukiganda pale kwa muda...sijui watang'oa nn waturushie.Kama Mungu ametupangia kushinda kesho tutashinda nyie haters ndio mjiandae kujifungia ndani. Hapana chezeya Yanga halafu mbaya zaidi njia ya kwenda makao makuu lazima tupite kwenu, tutaganda pale kwa muda tuwaudhi vizuri.
ahaahaa..tukiganda pale kwa muda...sijui watang'oa nn waturushie.