Al Adawi kutembelea mitambo Ubungo

Al Adawi kutembelea mitambo Ubungo

Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Posts
2,802
Reaction score
617
Taarifa zinasema kwamba yule jamaa aliyejitambulisha kuwa ndiye Brigedia Jenerali Sulaiman Al Adawi, Mmiliki wa Dowans anatajwa kutembelea mitambo ya Dowans Ubungo....

Kazi kwenu waandishi makini na wapiga picha, naambiwa hapo atakaa kwa mapozi apigwe picha vizuri ili apate publicity kama kiongozi wa nchi..... duh Watanzania ni kiboko
 
Kama kweli tungekuwa na waandishi makini mbona picha zake zingekuwa zimetapakaa kwenye magazeti!

Kwanza kitendo cha kuwaita waandishi na kusema hasipigwe picha na kweli wakashindwa kupata picha yake ni aibu kwa waandishi!
 
Eh! Alikuwa hajafika kwa investment yake? Huyo mmiliki kweli?
 
hajakamatwa tu? huyo ni tapeli anatakiwa kuwekwa chini ya ulinzi haraka iwezekanavyo
 
Taarifa zinasema kwamba yule jamaa aliyejitambulisha kuwa ndiye Brigedia Jenerali Sulaiman Al Adawi, Mmiliki wa Dowans anatajwa kutembelea mitambo ya Dowans Ubungo....

Kazi kwenu waandishi makini na wapiga picha, naambiwa hapo atakaa kwa mapozi apigwe picha vizuri ili apate publicity kama kiongozi wa nchi..... duh Watanzania ni kiboko

Nchi ya amani na huru kwa kweli,kama mtu kama huyu yuko comfortable kutembea pamoja na kashfa zote hizo...basi tena....hakuna kama Tanzania!
 
..Jamani mbona Tz hatueleweki..tulitaka ajitokeze amejitokeza tunasema sio yeye na hatumsemi nani mmiliki..mmekataa kulipa deni amekuja kujadili deni lipungue au lisitishwe mnataka akamatwe kwa kosa la kukataa kupiga picha. Mi naona ombwe kubwa sana katika uchambuzi na ujengaji wa hoja kwa wahariri na wachambuzi katika Media zetu. Jambo la msingi ambalo media ingejikita kwa sasa ni kuuliza technical issues na kujua hatma ya mchakato na pengine kutoa mapendekezo kuliko kutuchanganya maana saa hizi kila gazeti ni picha ya Mmiliki wa dowans. Picha yake sio muhimu tena jamani lets talk the talk now..its boring..
 
Kama kweli tungekuwa na waandishi makini mbona picha zake zingekuwa zimetapakaa kwenye magazeti!

Kwanza kitendo cha kuwaita waandishi na kusema hasipigwe picha na kweli wakashindwa kupata picha yake ni aibu kwa waandishi!

Uko sahiii kabisa mkuu nimesikitika sana na waandishi wetu.

May be waandishi wenye uwezo wote wako global publishers ya shigongo teh teh teh

Hivi hakuna mwandishi alikuwa na kitu hiki

Last edited by a moderator:
i hope rostam,ngeleja na yule bosi wa tanesco watakuwa pembeni yake,..najiandaa kujilipua nao wadau,..wote hao watatu siwafagilii lao moja kwenye ujambazi huu wa dowans,..sitanii watch the news,..
 
Jilipue mkuu tuko pamoja nawe
 
i hope rostam,ngeleja na yule bosi wa tanesco watakuwa pembeni yake,..najiandaa kujilipua nao wadau,..wote hao watatu siwafagilii lao moja kwenye ujambazi huu wa dowans,..sitanii watch the news,..

chadema tutalea familia yako tupe contact
 
Nauliza mawe wanauza wapi??? najisikia kufanya mazoezi kidogo.
 
Back
Top Bottom