MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,115
Amekufa na kinga yake, itamsaidia mbele ya safari, lakini nahisi kama ameuawa RIP marehemu
Tupe details mtaalamu maana umebobea kwenye hayo manyaunyau..Kafanya mapenzi na mzimu huyu
Kuna mizimu majini na mashetani wa kike ambao hawana mahusiano ya kingono na wenza wao kwahiyo wanapohitaji hujitokeza kama mwanamke mremboTupe details mtaalamu maana umebobea kwenye hayo manyaunyau..
Wahehe wana kitu kinaitwa Lutambulilo, kama humuamini mkeo unamtegeshea kimazingara then akichepuka tu yule mwanaume anapopiga bao ndo na uhai wake unatoka na hilo bao.Kuna mizimu majini na mashetani wa kike ambao hawana mahusiano ya kingono na wenza wao kwahiyo wanapohitaji hujitokeza kama mwanamke mrembo
Mara nyingi victims wao ni wale zoazoa umekutana na mwanamke humjui unamtongoza hapo hapo na kukubaliwa hapo hapo...
Mkienda huko mkafanya yenu mkamaliza ili asinogewe akutafute tena hukuua....
Tanga inaitwa usinga wallahi huchomokiWahehe wana kitu kinaitwa Lutambulilo, kama humuamini mkeo unamtegeshea kimazingara then akichepuka tu yule mwanaume anapopiga bao ndo na uhai wake unatoka na hilo bao.
Ni kama ushirikina fulani hivi kama ule wa kunasiana
Haya sasa mazoazoa piteni hapa msome na kuelewa kabla hamjafa na soksi miguuni.Kuna mizimu majini na mashetani wa kike ambao hawana mahusiano ya kingono na wenza wao kwahiyo wanapohitaji hujitokeza kama mwanamke mrembo
Mara nyingi victims wao ni wale zoazoa umekutana na mwanamke humjui unamtongoza hapo hapo na kukubaliwa hapo hapo...
Mkienda huko mkafanya yenu mkamaliza ili asinogewe akutafute tena hukuua....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Haya sasa mazoazoa piteni hapa msome na kuelewa kabla hamjafa na soksi miguuni.
Hasa kama hujapima blood pressure kabla ya kuvitumia.VIAGRA sio vizuri kabisa
Hasa kama hujapima blood pressure kabla ya kuvitumia.
Kuna mizimu majini na mashetani wa kike ambao hawana mahusiano ya kingono na wenza wao kwahiyo wanapohitaji hujitokeza kama mwanamke mrembo
Mara nyingi victims wao ni wale zoazoa umekutana na mwanamke humjui unamtongoza hapo hapo na kukubaliwa hapo hapo...
Mkienda huko mkafanya yenu mkamaliza ili asinogewe akutafute tena hukuua....