BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Chezeya utamu weye!
Askari kafia uwanja wa vita na silaha yake mkononi.
Safi sana.
Askari kafia uwanja wa vita na silaha yake mkononi.
Safi sana.
Haha asigwa huna adabu eeeAskari kafia uwanja wa vita na silaha yake mkononi.
Safi sana.
Jicho la 3Kafanya mapenzi na mzimu huyu
Ila hiyo aibu aliyekufa haimhusu...!Kuna vifo vingine vya aibu Sana!
Mkuu umepinda kupita maelezo!eti kafa kishujaaa, kufa kishajaaa angekuwa kafa uku alipiga shoo kavu kavu, we unapiga shoo na ndom dhen unakufa?pumzika kwa amani moto ukubainike vizuri
Mkuu soma comment # 36Cleverking nikweli wagonjwa wa pressure hawatakiwi kutumia Viagra kabisa??
Dah jf napataga vitu adimu hatariTanga inaitwa usinga wallahi huchomoki
Eee mwenyezi mwenyezi mungu tujaalie mwisho mwema....ameen.akifika njia panda ya kwenda motoni na peponi ataulizwa nini hii ktk mashine yako,sijui atajibuje.
AameenEee mwenyezi mwenyezi mungu tujaalie mwisho mwema....ameen.
Hivi hii taaluma ni specific kwao? Ha ha haMngoni kafia ktk taaluma yao. poleni wafiwa.
Mngoni kafia ktk taaluma yao. poleni wafiwa.