Akutwa amefariki akiwa amevaa kondomu

Akutwa amefariki akiwa amevaa kondomu

Mshana mizimu gani inataka kondomu? Kwavyovyote vike mizimu itakuwa inapenda mbegu za motomoto ziingie kwenye papuchi
Inategemea kwakuwa mingine haitaki ibebe mimba[emoji23] [emoji23]
 
Dereva mmoja wa magari madogo mkazi wa Bombambili manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Peter Christopher [35]amekutwa porini amekufa huku sehemu zake za siri kwenye uume wake ukiwa umevalishwa mpira wa kiume[CONDOM]ukiwa na manii.

Habari zilizopatikana jana ambazo zimethibitishwa na kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma Zuberi Mwombeji zimesema kuwa tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 6.00 mchana huko katika eneo la Making’inda kata ya Msamala Songea mjini.

Amesema kuwa Christopher alikutwa amefariki dunia huku akiwa hana jeraha la aina yeyote ila alikuwa na mpira wakiume ambao ulikuwa umekwisha tumika ukiwa kwenye uume wake na kwamba mpira mwingine wakiume wakiume ulikuwa bado haujatumika ulikutwa kwenye mfuko wa suluari ambayo ilikuwa kandokando ya mwili wa marehehemu huyo.

Kamanda Mwombeji amefafanua zaidi kuwa mpaka sasa bado haijafahamika chanzo cha tukio hilo licha ya kuwa taarifa za awali zinadai kuwa Christopher tangu Mei 17 mwaka huu alikuwa hajaonekana nyumbani kwake hivyo ndugu na jamaa zake walianza kumtafuta ambapo baada ya masaa 24 waliamua kutoa taarifa katika kituo kikuu cha polisi cha Songea na jihudi za kumtafuta ziliendelea ambapo juzi majira ya saa 6.00 mchana mwili wake ulionekana huko katika eneo la Making’inda katikati ya vicha vilivyopo kwenye poli la eneo hilo.
Amesema kuwa baadae ndugu wa marehemu waliweza kuutambua mwili huo ambapo baada ya uchunguzi wa madaktari kwa kushirikiana na polisi na kubaini mwili wa marehemu huyo haukuwa na majeraha yoyote waliamua kuwa kabidhi ndugu.

Hata hivyo kamanda Mwombeji amesema kuwa kufuatia kwa tukio hilo kutokea jeshi la polisi mkoani humo linaendelea kufanya upelelezi wa kina ili kubaini chanzo halisi cha tukio hilo .
Mkuu hii habari ina ukakasi na mashaka kidogo. Hebu tujiulize haya

1. Marehemu kapotea toka May 17th, 2016 mpaka anapatika let it be yesterday the 9th of June, 2016 au masaa matatu kama bandiko lako linavyoonyesha hivyo utaona ni siku takribani 25

2. Katika siku 25 mwili wa mwanadamu hauwezi kuwa kwenye status ya kuambiwa eti polisi na madaktari wauangalia hauna majereha!

3. Aidha story yako inatuambia kwamba kutoweka Kwake na kifo chake havina uhusiano kwa maana ya siku (from disappearance to being found) kwa polisi kuweza kuuona mwili intact, of course na hiyo kitu kwenye dushelele

4. Hiyo postmortem [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] waliofanya hao polisi na madaktari yakuangalia external injuries na hawakuona jereha imewafanya wafikie conclusion kuwa it's nothing! Au kifo cha kawaida na kukabidhi mwili kwa wifiwa kweli? Iterejensia iliyotukuka [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

5. So huyo askari mtoa taarifa, anasema uchunguzi unaendelea kugundua sababu za kifo chake [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] what joke! Mwili wa Marehemu uko kaburini na ushashikwa na ndugu wa marehemu na kimsingi huo mwili ndio first evidence na clues zote za upelelezi zinaanzia hapo
 
Siku hizi kuna ugojwa wa pressure la bao. wakati wa kukojoa pressure inapanda, sasa ikishuka ghafla hapo ni kwaheri.
 
eti kafa kishujaaa, kufa kishajaaa angekuwa kafa uku alipiga shoo kavu kavu, we unapiga shoo na ndom dhen unakufa?pumzika kwa amani moto ukubainike vizuri
 
Mshana nasubili jibu langu
Mizimu inatokana na roho zilizokufa na mingine pia huweza kuvaa mwili wa kibinadamu na kufanya mapenzi na kupata mimba mimba za majini na mashetani
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
image.jpeg
Yeye sio wa kwanza
 
Vifo vingine vitamu kweli una kufa na utamu yaani kweli taaamu.
 
Isifikiriwe alikuwa anafanya jambo baya,yawezekana alikuwa ameagiziwa sample ya manii apeleke sehemu na bahati mbaya umauti ukamkuta.
Angeweza kuzitoa akiwa faragha chumbani.
 
Back
Top Bottom