Akuanzae mmalize!

we zinduna wewe,unamtisha nani hapa? Ulikolalia ndiko nilikoamkia,manga pwani pemba wakujua weye? NitakuPM mpaka unizalie mtoto!
 
tobaaaaaaaaaaaa..... Hilo jina la mwisho mmmmmh...... To......??????
asikutishe huyo zinduna,hapa kwa bishanga kafika,mi mtambo wa chuma,majini yote ya bahari,anga,ardhini kwangu yanapiga saluti,kudadadadadeki ccm hoyeee,nambie BT, zinduna nimchane nisimchane?
 
kudadadadadeki bishanga baada ya kutua na airforce one zinduna kaupwaka,chezeiya bishanga wewe!
 
Mchaneeeeeeeee mchaneeee huyooooo

asikutishe huyo zinduna,hapa kwa bishanga kafika,mi mtambo wa chuma,majini yote ya bahari,anga,ardhini kwangu yanapiga saluti,kudadadadadeki ccm hoyeee,nambie BT, zinduna nimchane nisimchane?
 
Kuna mtu hapa lazima nimsomee HALBADRI!
Na sijui kama ataumaliza mwaka huu, maana kazidi mno kuni-PM akitaka kunitia katika dhambi, kama alikuwa hajui, basi mie ni mtoto wa Sheikh Sayed Mabrouk Bin Mahmood Barghashish Burhan Tombya na ajue salama yake ili kuepuka dhoruba ni kuniomba radhi hadharani hapa hapa JF na sio kwa PM.

Nimemaliza na sitaki maswali.

Mtu mzima hatishiw paka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom