Mimi pia wamenambia bure kwa siku mbili kwa sababu ya matatizo ya kiufund yalotokea jana wakanipa maelekezo tuma nena tigo kwenda 15166 cha ajabu nkituma wananambia alama uliotuma sio sahihi kwa kwel hawa jamaa mi siwaelewi au wateje wa tigo tuandamane nini?
washenzi sana hawa hata mimi jana wamenitumia, sikupata chochote ..leo tena wamenitumia lakini hakuna chochote...wangejua nimewaweka kwenye danger-zone wasingeendelea kunikasirisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.