Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
- Thread starter
-
- #41
Ni msanii wa KenyaNdio nani? Mbona mimi ndio kwanza namwona kwenye hii picha. Mmesema anamiliki 10bln?
TofautiWa baba mmoja ?
Sawa shemTofauti
GHahhaa sawa mama sabrina..... kipenzi cha nani vile....
Ndege wafananao huruka pamoja.Basi ana mwili mzuri aisee ndio marafiki wa zari rika moja
YapNdege wafananao huruka pamoja.
Mtu na shoga yake. Ndiyo maana wanasupportiana.Basi ana mwili mzuri aisee ndio marafiki wa zari rika moja
Lazima muwe marafiki umri unaolingana linganaMtu na shoga yake. Ndiyo maana wanasupportiana.
Wa kenyaMcheza mieleka wa wapi huyu?
Sio yule billy blanks mwenyewe bana huyu kaiga jinaJaribu kutembelea ukurasa wake wa instagram utamuona wako nae muda wote
Sure.... maana yule wa zamani atakuwa mzee kwa sasaSio yule billy blanks mwenyewe bana huyu kaiga jina
Wanalingana na huyu tuSure.... maana yule wa zamani atakuwa mzee kwa sasa
Kiumri au kiumbo?Wanalingana na huyu tu
Mzee wa mizoga ilioachwa na simba aka fisiDiamond hajaila kweli hiyo?[emoji23] [emoji23]