Akiwa kwenye hali/ muonekano upi huwezi toka naye kimapenzi?

Akivaa kisabato ama yale mavazi ya washamba wa kilokole asee sitaki hata apite mbele yangu, unakuta mdada mzuri tu lakin mpangilio wa mavazi ni SIFURI katupia mgauni wa pinki as if wakala wa Tanesco hawa sina mda nao, hata kama nilikuwa namlia timing akakubali dating/mtoko haloo nitacancel hiyo dating.

Ama kuna wale wadada wa magauni as if anakwenda kufanya show ya kitchen part gauni kama pazia la mashineni hawa nao sitaki hata wakae siti moja namimi kwenye daladala.

Bila kuwasahau wale wanawake wanao fake muonekano kwa mawigi isiyoendana nae unakuta mdada mwembamba kama Nguzo ya bendera alafu katupia icho kiwigi kimekomaa mpaka unajiuliza huyu nae kabebaje kuku kichwani, au wale wadada wa heavy make up mpaka unashindwa kutofautisha kuwa huyu ni mwanadamu ama kinyago cha mpapula kilichowekewa mabetri kinatembea mitaani.

Wadada wajitathimin kimavazi, kila nguo iendane na safari/sehemu ya mtoko, nguo za kanisan/msikitin usivae dating places kama club, bar, hotels,migahawa, au nguo za mid night club usizavae safarini, jitathimini umbo lako la mwili na aina ya mavazi unayotaka kuvaa.

La mwisho wanawake mjiamini sio kila mwanaume anapendelea makalio na ngozi nyeupe, kuna wengine wanapendelea vipotabo na weusi asilia sio huo wa makeup mi lip-shine na mikucha bandia kama litoto la jini linalonyonyesha damu.
 
Akivaa kisabato ama yale mavazi ya washamba wa kilokole asee sitaki hata apite mbele yangu, unakuta mdada mzuri tu lakin mpangilio wa mavazi ni SIFURI katupia mgauni wa pinki as if wakala wa Tanesco hawa sina mda nao, hata kama nilikuwa namlia timing akakubali dating/mtoko haloo nitacancel hiyo dating.

Ama kuna wale wadada wa magauni as if anakwenda kufanya show ya kitchen part gauni kama pazia la mashineni hawa nao sitaki hata wakae siti moja namimi kwenye daladala.

Bila kuwasahau wale wanawake wanao fake muonekano kwa mawigi isiyoendana nae unakuta mdada mwembamba kama Nguzo ya bendera alafu katupia icho kiwigi kimekomaa mpaka unajiuliza huyu nae kabebaje kuku kichwani, au wale wadada wa heavy make up mpaka unashindwa kutofautisha kuwa huyu ni mwanadamu ama kinyago cha mpapula kilichowekewa mabetri kinatembea mitaani.

Wadada wajitathimin kimavazi, kila nguo uendane na safari/sehemu ya mtoko, nguo za kanisan/msikitin usivae dating places kama club, bar, hotels,migahawa, au nguo za mid night club usizavae safarini, jitathimini umbo lako la mwili na aina ya mavazi unayotaka kuvaa.

La mwisho wanawake mjiamini sio kila mwanaume anapendelea makalio na ngozi nyeupe, kuna wengine wanapendelea vipotabo na weusi asilia sio huo wa makeup mi lip-shine na mikucha bandia kama litoto la jini linalonyonyesha damu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom