Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,839
- 10,076
Kwa pande zote mbili
Kuna muda unamuona mwanamke (Kwa sisi wanaume) ama mwanaume (Kwa wanawake) anakuwa kwenye muonekano fulani ambao binafsi unaona noma kumtokea / kumsaundisha (Kwa ME), ama kujitongozesha (Kwa KE).
Au huenda uko naye kimahusiano. Anatokea kakuomba mtoke, ukimtizama jinsi alivyo alivyo tu, unahisi atakutia aibu mtaani.
Akiwa katika hali ipi huwezi mpa nafasi?