Akitoka Samia anaingia Mchengerwa 2030

Akitoka Samia anaingia Mchengerwa 2030

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,775
Reaction score
36,000
Hili liko wazi
Samia Mzanzibar akitoka zamu ya Rais kutoka Tanganyika anaingia mwamba kabisa Mchengerwa

Mohamed Mchengerwa anatoka kwenye ukoo wa wanasiasa kumbuka bibi yake ni Bibi Titi mwanaharakati na muasisi wa uhuru wa Tanganyika.

Mchengerwa amehudumu kama mbunge wa Rufiji na Waziri katika wizara nyingi ambapo amepata uzoefu

Kila la heri kijukuu cha Bibi Titi Mohamed
 
Amuulize Membe kilichomkuta.Kura atapitishwa tano bora.Ila kupata kura za ushindi asahau.
 
Back
Top Bottom