Asee kama hamuez kuwa serious bas tafta mtu anayejielewa nnachokiona hapo hamjawa seriousMitatu mkuu,ila hatujaoana bado
Nimekupata mkuuAsee kama hamuez kuwa serious bas tafta mtu anayejielewa nnachokiona hapo hamjawa serious
Kwanza kitendo cha kuchukua fedha yangu bila idhini ukafanye mambo yako hta ingekuwa kununua chupi n kosa la Kenai
Pili kutoa mimba et kisa amekasirika sasa kuna siku atauza mechi akikasirika
Inshort kama umeshakuwa mtu mzima jitahd kuwa serious otherwise utakuwa unaleta nyuz daily
Wee umpeleke mtuhumiwa Polisi na gari, si unakuwa mmekaa tu njia nzima, Kwani mnakaliaga vichwa?
Dah! Umeongea point kubwa sana kwangu.
Yaani wale usiopenda kuweka makazi ndiyo unasikia wanakuambia kabisa, "Baby nataka nikuzalie mtoto ".
A: Logic ni ndogo tu hapo Mkuu.Huyo anayetoa mimba na unampenda sababu inaweza kuwa ( mojawapo);
1.anajiona mzuri,
2.huna vision and mission ya maisha,
3.umechoka mbaya,
4.bado ana soma,
5.akili haijapevuka,
6.we ni mapepe/hujatulia
7.yeye ni full mapepe/hajatulia,
8.bado umri wa kuzaa na kuolewa
9.imani tofauti za dini,
10.mmepishana sana umri
11.una sura kama ya kenge,
12.over weight kama big show wa mieleka,huna mazoezi/stamina,
13.kati yenu kuna mchawi,
14.kati yenu kuna full mnuka midomo/vikwapa/sehemu za siri(uchafu),
15.historia ya magonjwa ya kurithi,
16.mnaishi mbali,
17.hupigi vitu kiume ingawa mbegu unazo,
18.u-dwarfism,
19.una ugonjwa wa kisasa,
20.una kibamia/miguu wa mtoto,
21.ana bwawa,
22.we ni mtu wa show up,
23.mkali/mkorofi kama akina muraa,
24.mlevi kupindukia,
25.mvivu wa kufanya kazi,
26.mpenda starehe,
27.umezaa zaa ovyo watoto wengi wa mama tofauti,
28.family background mfano maisha mazuri,halafu we choka mbaya,
29.anakutumia ili afanikishe malengo yako mfano kusoma/kumfundisha masomo,
30.kuna mtu anamdanganya atamweka ndani kimojaa,
31.huenda wewe hu-promise kuoa,
32.mlafi,kula sana,ubinafsi n.k,
n.k....nk....nk...unaweza kuongezea sababu zingine kadhaa.
B: Ambaye hujamfia lakini anataka umzae huenda ni kwa sababu zifuatazo;
1.amekupenda tu,
2.una maisha mazuri,
3.amechezea sana mipini ya kila aina na kuwa screpa,sasa anaona liwalo na liwe,akikupata wewe tayari katoa nuksi.
4. Mgonjwa mfano ngom,
5.UNAWEZA KUZIGEUZA SABABU ZA "A"ZIKAWA KWA AMBAYE HUJAMFIA ANATAKA MZAE.
n.k....n.k...n.k....ongeza sababu zingine.
Ingawa sisi wanaume huwa hatuangalii,bali chochote chenye dalili ya kuwa na uke tunawaka tamaa ile mbaya,kujilaumu ni baada ya kitendo.
Kazi kweli karne hii.Tumwombe Mungu atuepushe na sintofahamu za ulimwengu huu.
My take: Mkuu SK2016,sijasema hizi ni SIFA zako (sio wewe)bali nimezungumzia kiujumla jumla tu(after quoting you).

Asante saana kwa michango yenu.Ongeza na hii;
1.Kasoma kukuzidi,
2.Ana Maisha mazuri/kipato kikubwa kukuzidi,
3.Kutaka kulinda status yake mbele ya jamii(wewe sio saizi yake,itakuwa uchuro),
HahahahaAcha ufala bwege wewe,unakaaje na mwanamke muuaji unayemjua?? Leo kaua mwanao kesho anakuua wewe...kima wewe ...furushi LA magimbi kabisa,ungekuwa karbu ningekutia mbata....kenge kabisa
Asante saana kwa michango yenu.
Wazazi wake ndiyo walimtawala kwa kila jambo, akashindwa kuamua. Sikupenda nitoe hata pesa ya kutoa ili azae nimchukue. Wazazi wakakomaa eti wanataka wamsomeshe zaidi na zaidi. Binti alinipenda. Wakaitoa dah!
Cha ajabu wazazi wake hawakumsomesha. Na hadi sasa ni single mother.
Kuna siku tulionana na mwanaye mgongoni, akabaki analia tu.
Nilisikitika sana.
Anasema ilikuwa akili za kitoto.
kwa nini atoe mimba,sababu kubwa ni ipi?
Ukiacha sababu za kiimani na kiroho ambazo moja kubwa ni kutokuwa tayari kutoa uhai wa kiumbe kisivho na makosa..Hivi kwa nini mwanamke unaye mpenda(una malengo mengi nae)
Hawa wakipata tu mimba hua wanatoa!
Lakini wale ambao huna mpango nao hua hawataki kutoa?