Mpaka usikilize audio au utazame video ndipo unaelewa.
Kwa kosa la kutoa mimba au kutumia pesa yako?
Nampeleka Polisi Mimi mwenyewe kwa miguu yangu
Duh,inaonekana mna migogoro isiyo ya msingi hapo hamuez kuwa na future bado mnacheza,yaani kama unaweza kumtuhumu hvo alafu na yeye akatoa hapo hamna watu kwan mna miaka mingap samahn kwa maswal yanguNilimwambia nahisi anachepuka na inawezekana hata mimba sio yangu
Hahahahaha Mkuu Bujibuji nimecheka kweli,ni utani na changamsha jamvi tu.
"Hivi wengine huwa wanawapeleka watuhumiwa Polisi kwa makalio kama sio kwa miguu yao wenyewe"?
Hahahahaha Mkuu!!!
Dah! Umeongea point kubwa sana kwangu.Hivi kwa nini mwanamke unaye mpenda(una malengo mengi nae)
Hawa wakipata tu mimba hua wanatoa!
Lakini wale ambao huna mpango nao hua hawataki kutoa?