Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 465
Baada ya vurugu za hapa na pale ,mpezi wako anaenda kuichomoa mimba ya miezi mitatu bila wewe kujua,siku mbili baadaye anakuja maskani kwako anakukabidhi Tsh 50,000 mkononi,unamuuliza hii pesa ya nini ?
Anakwambia yule mama uliyemkopesha nguo alinipa pesa nikuletee 250,000 ila 200,000 nimeitumia hospitalini,heee laki mbili yote unaumwa nini ?anakwambia nimetoa mimba ila naomba unisamehe na usiniache tuendelee na mahusiano yetu,unamuuliza je tukiendelea na mahusiano na ikatokea mimba ikaingia itakuwaje? Anajibu nitaitunza ilikuwa ni hasira tu ndio maana nilitoa siwezi kutoa tena, baada ya mzozo mkubwa unamwambia ok nimeshakusamehe ila kuanzia sasa tutakuwa tunatumia condom maisha yetu yote,Ila nikihitaji mtoto nitatafuta mwanamke mwingine wa kuzaa naye,anaaanza kulia anaomba umsamehe,Je utamsamehe???