Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

Wangu mwanamke anatakiwa apambane kumrudisha mmewe kwenye mstari

Mwanamke awe mpole,ajitahdi kua karibu sana na mmewe!
Aendelee kumpa moyo na kumuamini

Ntamshauri haya yote maana saa ingine anakujaga kwangu na ndala. Yaani kaendesha gari kutoka kwake hadi kwangu yuko rafu kuonesha nae mambo yamemzidia kichwani.
 
Hapo msipoangalia wrote mtajikuta mko kwenye mahusiano ili kupunguziana maumivu
 
Mmmmh!! Stress mbaya sana ukizingatia na mid life crisis, huyo atafutiwe msaada wa kisaikolojia, kumuacha kwaweza msababishia matatizo mengine makubwa zaidi.

Ndio wake huyo wa kufa na kuzikana,atafanyaje sasa, hapo ndipo anatakiwa aonyeshe kumpenda zaidi na amsaidie kuondokana na tatizo hilo.
 
Mweeh hapo kwenye kufa na kuzikana hapoo... saa ingine ndoa za kikristo zina majaribu hatari.
 
Back
Top Bottom