Ha ha ha ha hv bado upo jamanHeaven Sent bonny anakuita.
Hata Faiza katika ujana wake hakuweza kunivumilia kihivyo...sembuse hawa watoto walaini kama sausages?Sikia jamaangu wa JF, ukipata sketi humu Jf, muite getto, mpe jiko lilopgwa mvua na mabox yaliyolowa maji na mkaa wenye unyevu awashe moto.. mpe maharage yenye mawe achambue... mpe mchele wenye machuya mengi achambue.. then kisha apike.. mkishakula, Jioni saa 11 mpe 1000 ya nauli ya bodaboda na mwambie kesho arudi.. KAMA Kesho akirudi, huyo MUOE kabisa usimwache...
Hapana.Ha ha ha ha hv bado upo jaman
Kumbe roho inakuuma enhee ukisikia kwa wengneHapana.
Nijikute tu!!Kumbe roho inakuuma enhee ukisikia kwa wengne
Sasa ulimuita dota kwa ajili ya nnNijikute tu!!
tena nikijua unanipima ndo sifanyi huo ujinga kabisaaaaMweeeeh hiyo yote kutafuta ndoa!! Alafu unakuta huyo unayemuhangaikia hivyo kumbe ni booonge la furushi.
Ameniita tu kuniambia bora nibaki kwenye green pastureKumbe roho inakuuma enhee ukisikia kwa wengne
We nenda tu mama angalia moyo wako unavyokutumaAmeniita tu kuniambia bora nibaki kwenye green pasture
Daah Umeongea kwa upoleWe nenda tu mama angalia moyo wako unavyokutuma
Ha ha ha ha na wala stak unionee hurumaDaah Umeongea kwa upole
Hahahaha haya ngoja Niwe kauzu[emoji87] [emoji87]Ha ha ha ha na wala stak unionee huruma
Tulia bas na wewe unataka kuja
Yaani najikalia kimyaa kama tupo kwenye mfungo.tena nikijua unanipima ndo sifanyi huo ujinga kabisaaaa
Akapime uzito huko, eti kunipima khaaaYaani najikalia kimyaa kama tupo kwenye mfungo.
AfadhalHapana sitaki
Huhuhuuuuu!!!We nenda tu mama angalia moyo wako unavyokutuma