Akirudi Kesho, Muoe

tena yashindwe kwa jina la yesu
unaweza fanya vyote hivyo mpk kupikia kuni na kuolewa usiolewe
akaja kuolewa mwingine kabisa

Ndohapo sasa.
Wee mambo gani ya kupeana mkaa wenye majimaji?? kama ana mapenzi ya kweli atakuchukulia kama ulivo tu ila sio mitihani kama hio
 
Now days ME wanathan kubwa kuliko KE, hivyo mtu anapotaft mke sio kama kuwinda panzi, yeyote mbele yako ndo umkamate.
Hilo zoezi Halina mantiki yeyote! Nadiriki kusema ni la kipuuzi
 
Hivi mkuu una sahau kuwa hivi viumbe siyo vya DUNIA hii,vina weza kuishi kutokana na mazingira endapo kama vime mpenda mtu....

Kama vina weza kutoroka Kwao ambako ana pata kila kitu ama aka toka kwa mumuwe wa ndoa ambaye ana uwezo wa kumpa kila kitu na aka enda kwa mtu ambaye Hana muelekeo wa maisha na akafurahia maisha....

La msingi ni kucheza part yako tu......
 
Wadada naona povu limewatoka kweeli,najua iyo si mbinu nzuri, ila jitahidini ata kwa icho kipimo,nafas bado mnayo.
 
hayo majaribio hayatoshi mkuu... anatakiwa akifika upige nae stori kuanzia asubuhi had jioni bila kula wala kunywa!... halaf unamsindikiza umbali mrefu.. kisha unampa buku nauli ya kurudi na kuja kesho!!!
akija anakutana na pete za uchumba!
 
Mweeeeh hiyo yote kutafuta ndoa!! Alafu unakuta huyo unayemuhangaikia hivyo kumbe ni booonge la furushi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…