Akina mama wa Tz na vigelegele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina mama wa Tz na vigelegele

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jan 23, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,242
  Trophy Points: 280
  Ivi kuna nchi nyingine duniani wanawake wao wanapiga vigelegele? Apa naangalia Australia Open kati Sabrine Usicke na Maria Sharapova, sijasikia vigelegele zaidi ya makofi. Ivi viongozi wa nje wanapokuja afu wakasikia vigelegele kwa mara ya kwanza wanajisikiaje? Au huwa wanatafsiriwa?
   
Loading...