Akina mama tuache wizi

Akina mama tuache wizi

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
274
Reaction score
108
Huyu nae kala kichapo kwa wizi wa nguo za sikukuu.akina dada wa mjini tuache tabia za wizi na tamaa ya vitu tusivyoviweza.alafu eti mke wa mtu na watoto.Hicho kichapo kweli sidhani kama atarudia tena mwee
 

Attachments

  • wizi.JPG
    wizi.JPG
    58.3 KB · Views: 140
  • wizi@.JPG
    wizi@.JPG
    52.7 KB · Views: 155
Swadakta, kichapo kwa mwizi ndo halali yake kwani ukimfikisha polisi anakumbatiwa kwani polisi ni wezi pia.
 
aisee aibu sana inawezekana alipewa hela na mume wake akataka kubana matumizi kama kawaida yao
 
Hapana huyo kwa maelezo yaliyopo anaonekana ni mwizi mzoefu tena anashirikiana na wenzake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom