Akina mama mkwe mliotuzalia wake zetu piteni hapa

Akina mama mkwe mliotuzalia wake zetu piteni hapa

Tuhadithie basi aliyokwambia mangi. Ila wachaga mna vituko. Si mnawezana wenyewe kwa wenyewe. Kiruuuu kunywa mbege zako za kutosha ongezea na ka kiroba mfate huyo mama mkwe ongea yooooteee usibakishe. UKIKALISHWA KIKAO CHA KUMTUSI MKWE WEWE SEMA NI POMBE ILE SIO WEWE.
Daaah umenifurahisha
 
Kiukweli wanaume wengi hatunaga kauli pale ndugu wa mke wanapokuja nyumbani naniseme tumejaliwa ukarimu kidogo kwenye hilo ingawa na sisi tunamapungufu yetu
 
Unyanyue mkono wako kumpiga mkweo????????

Heheheheeeeeeeeeee acha nipite

Ila sio wazazi wote wa mke wapo hivyo.....
 
mbona hio ni nature,mama kuwa protective,subiri huyo mwanao aoe na yeye uone kama mkeo atatulia nyumbani.
 
Namvizia aje kwangu... Unajua ndoa nyingi sana zimevurugwa na hawa mama wa wake zetu.
Mkuu,uspate tabu aisee,mama mkwe ana **** vile vile,na hata tigo anayo au vipi?,wewe ukiona mama mkwe anaingilia serikali yako ujue anamuonea wivu binti yake jinsi anapakuliwa na wewe,si ajabu usiku ukianza kumpakua binti yake utakuta yupo mlangoni katega sikio huku amejitia kidole anasikiliza mnavyoguna na kupumua,dawa yake wewe anza mazoea na mama mkwe,ukimkuta kakaa ukumbini jioni,chukua bonge la perfume mpulizie kwenye maziwa na shingoni huku ukimwambia;"mama ubarikiwe saana tena saaana kwa uzuri wako na urembo wako na muonekano wako yaani umenizalia mke anaefanana na wewe kabisaaaaaaaa,yaani mtu akiwaona wewe na binti yako barabarani ni lazima atajua binti yako ni mdogo wako au mkubwa wako,khaaa yaani mama huzeeko,unazidi kupendeza mama,halafu hapo unambusu shavuni,siku ya pili au tatu unazuka na kumsifia tena na tena,fanya hivyo na vijizawadi zawadi,nakuhidi lazima utakula mzigo,na ukisha kula mzigo problem solved...periooood,na ukimpata usisahau kumla tigo.
 
Duh, unanishauri Nile Tundu jirani na alipotokea wife?? Hapana...
 
Kuna mama mkwe mmoja alimtembelea mwanae hapa mjini sasa kila wakifanya lile tendo usiku yeye huamka na kufanya maombi ya kukemea..
Hawafai kabisa..
 
Salaam,

Kwanza niseme kuwa hili ni jiwe la gizani, na yeyote litakayemtwanga atulie kimya.

Kipindi cha nyuma kidogo kulikuwa na harakati nyingi sana za kuwasema na kuwakebehi akina mama mkwe Wazazi wa mume. Walisemakana wana gubu, wana fitina, wivu, Maneno na kila aina ya ubaya. Zikatungwa nyimbo, maigizo, vitabu, mashahiri na kila aina ya sanaa ili tu kumkomesha mama wa mume ailete kiherehere.

Wanaume tulivyokuwa na moyo wa huruma, tukakubaliana na hayo maneno, na sisi tukaja na kauli mbiu kibao za kuwazuia mama zetu wasilete balaa kwenye ndoa zetu. Mara ooooh! Mama akija kwako asikae Muda mrefu, mara ooooh! Msaidie mama yako akiwa hukohuko kwake nakadhalika. Tukasahau kabisa kuwa tunafunga mlango mmoja tunafungua mwingine hatari zaidi.

SASA:
Mimi nilidhani hiki kikombe nakipitia mwenyewe ni mpaka nilipopokea SMS toka kwa mangi mwenzangu akiniomba niende kwake nikamkomboe maana Kama ni Maneno ameyasikia yote.
Nilipofika nilimkuta kakaa getini Shati lipo begani amevaa malapa. Tulipofika mahali tukakaa ndo akanielezea balaa la mama wa Mke wake na Maneno anayoyasema hapo nyumbani kwake. Kama utani nikamuuliza kwanini huwaambii wazee wako au baba mkwe?? Sababu aliyonipa ilinifanya nigundue kuwa wanaume tutakufa sana na tai shingoni kwenye hizi ndoa, kwa kujifanya ngunguri.

Nihitimishe kwa kusema nyie mama wazaa wake zetu, kaeni na waume zenu mle pensheni. Acheni kuingilia ndoa za watoto wenu, ndio maana wengine wanajikuta wameliwa na wakwe zao.
Wakwe mmekuwa kama mabibi afya mnakuja kwa watoto wenu Kama mnakagua vyoo vya stendi. Sitavumilia tena.

Ya kwangu sitayasema hapa. Naomba wewe mkwe wangu, ujirekebishe upesi, ukija tena kwangu na uzeleheba wako huo utachezea mabapa mbele ya mwanao. Pumbavu.

Na nyie wasanii geukeni sasa muwaseme na hawa wamama waliotuzalia hivi vizazaa.
Hahahaaaaaaa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom