Akina mama Kijo-Bisimba na wanaharakati wengine matatani

Akina mama Kijo-Bisimba na wanaharakati wengine matatani

Ama kweli CCM inatudharau sana,kutuumiza ituumize tukijitetea ndio kabisaaa,inatutwanga virungu mpaka basi sasa kosa la hao Mashujaa ni lipi?kuwatetea wanyonge ndio kosa?Inaudhi sana hii tabia yao.
 
Hata wakienda jela hakuna mwananchi atakayeonyesha hasira labda wewe na wenzio wa hapo kinondoni, watu waache kula bata na familia zao eti waonyeshe hasira kuwatetea wanaharakati? who are they katika nchi hii bana, ni waganga njaa tu hao
hili lijamaa ni libinafsi ajabu! bila shaka ni li kada la ccm
 
Ama kweli CCM inatudharau sana,kutuumiza ituumize tukijitetea ndio kabisaaa,inatutwanga virungu mpaka basi sasa kosa la hao Mashujaa ni lipi?kuwatetea wanyonge ndio kosa?Inaudhi sana hii tabia yao.

Hawa watu walikuwa wanafikisha kilio cha watanzania wote mbele ya wala nchi. Kusema jamani malizeni shida hiyo haraka watu wanakufa hilo tena lilihitaji kibali. Yaani mtu anakukanyaga ndani ya daladala unaenda kwa mjumbe kuomba kibali cha kumwambia jamani unaniumiza!! Wana harakatati na wananchi wote tukatae!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom