Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Kulia wamekaa wazeewazee kushoto "vijana" wa jana.....hawa wa kulia wamekunjama mikono yao wakati hawa wa kushoto wameachama mikono yao kimapozi. Kulia wana magauni kushoto masuruali. Kulia kuna vimisalaba vifuani kushoto hakuna! Ni protokali mpya au nini? Tuelimishane please
nampenda huyo dada wa kulia?
nampenda huyo dada wa kulia?
nampenda huyo dada wa kulia?
nampenda huyo dada wa kulia?
Kama ni wa mwisho kulia, ongea polepole, hajaolewa peleka posa ubebe jumla!
Vipisto vimetulia ila sijui kama bado viko tight au visharegeanampenda huyo dada wa kulia?
mbali-kulia au karibu-kulia?
huyo mdada (kulia-mbali) ndiye mkuu wa mifuko ya jamii (SSRA)...!
Vipisto vimetulia ila sijui kama bado viko tight au visharegea
Umeanza na wewe mambo kama ya 'Mr Big Ben'?nampenda huyo dada wa kulia?
Inaonekana kuwa 'Kiti Maalum' ndio kinamfaa, hicho cha kawaida hakitoshi mkuu!