GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,638
- 109,006
Na kuwachoma kisu ndio dawa yao mkuuHatimaye Muuaji wa Mwanadada Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya Marehemu Ivy Wangechi Bwana Naftali Kinuthia amesema kwamba alifikia hatua hiyo ya ' Kumuua ' huyo Dada baada ya Kuona / Kugundua kuwa ' Uwekezaji ' wake mkubwa hasa wa ' Kifedha ' aliouweka kwa huyo Dada ulikuwa ni mkubwa sana lakini hakupa ' Upendo ' ambao alikuwa akiutegemea kutoka Kwake zaidi tu ya kila Siku kuona ' Dharau ' zinazidi Kwake.
Nawasilisha.
Hii ina ukweli,ila kuna baadhi ya wanaume wana tabia ya kulazimisha mapenzi kwa kutumia pesa,mtu hakutaki lakini wewe unachofanya ni kuinject pesa za kutosha mpaka mwanamke analazimika kukubali wakati kiuhalisia hauko moyoni mwake,sasa hii nayo kwa sisi wanaume saa nyingine ni shida,kiufupi ni kuwa penzi halilazimishwi kwa pesa...
Mwanaume wa dizain hio ni mjinga wa akili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa fala
Haina haja ya kujitapa anahella kama anaenda kuosea jela
Mi nikoje kwani?Kweli kabisa Mkuu nakubaliana nawe. Hivi Wanawake kama akina kapeace unaweza ukawawekea dhamana hivyo na Kujitoa kabisa Kuwahudumia? Ana bahati sana huyu Mwanaume ' Bwege Nazi ' Muuaji Naftali yuko Kenya ila angekuwa Tanzania na hapa Dar es Salaam ningemtafuta huko Gerezani aliko kisha nimpige bonge la Bao ( Kibao ) kwani ni ' Popoma ' aliyetukuka kabisa.
Mi nikoje kwani?
Upowekeza kwenye mapenzi utegemee faida ama hasara
Faida ni kupendwa
Hasara ni kufanywa mjinga kama hivyo na uwe tayari kupokea kati ya hayo mawili
Usipoyapokea ndo matokeo yake kuuana na kuumizana tu
Kivyovyote mapenzi tusiyachukulie kirahisi rahisi....tena vichwa ngumu kama wewe yakiwakuta mnalia hata kujiua
Yangu macho
Siwezi kuapia chochote katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiweka pesa n mapenzi ,wnawake wengi watchagua pesa so nikuishi nao kw akili tu ili usij kuishia nyuma y nondo kam uy jmaa apo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wanawake wote mm mwanaume simuelewi chochote kama sioni vitendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nionyeshe nijione tafadhali ' Switi ' wangu wa ukweli.
Hujafa hujaumbika punguza kujiamini na kujiapia kwa vitu usivyoweza kujihudumia( mapenzi yanashirikisha mtu mwingine huwezi kuyatekeleza peke yako)
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ni hv ww unanipa hizo swaga zako ile ule tunda
mfano- nataka nikupe maisha mazuri, tusema umeajiriwa mm sitaki uajiriwe nakupa mtaji ujiajiri, au umejiajiri ngoja nikuongezee pesa ukuze biashara yako na mengine kadharika lakini hayo uyasemayo hakuna hata zile dalili za kuonesha yatatimia yaani ww blaa blaa tu lakini hata moja hutimizi. Ukikutana na watoto wa mjini kama mm hupati tunda mpaka nione vitendo.
Sipo hvyo ila hii kwa wale Wanaume wenye blaa blaa
Sent using Jamii Forums mobile app