Akina Dada / Wanawake msipobadilika upesi mtachomwa sana Visu, Mtapigwa na hata kuzidi Kuuliwa na Wanaume kila Uchao

Yaan ni hv ww unanipa hizo swaga zako ile ule tunda
mfano- nataka nikupe maisha mazuri, tusema umeajiriwa mm sitaki uajiriwe nakupa mtaji ujiajiri, au umejiajiri ngoja nikuongezee pesa ukuze biashara yako na mengine kadharika lakini hayo uyasemayo hakuna hata zile dalili za kuonesha yatatimia yaani ww blaa blaa tu lakini hata moja hutimizi. Ukikutana na watoto wa mjini kama mm hupati tunda mpaka nione vitendo.

Sipo hvyo ila hii kwa wale Wanaume wenye blaa blaa

Sent using Jamii Forums mobile app

wanaume wa maneno hayo hawapo siku hizi sana.. wengi wao nguo unavua mwenyewe kwa kuvutiwa naye tu life style yake
 
Ndio acha nivue nguo mwenyewe kwa lifestyle yake hata akila akisepa haitoniuma sana sababu nilivua mwenyewe, mbaya zaidi uvue nguo kwa blaa blaa zake halafu hata moja asitimize inaumaga sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekufuatilia kwa muda mfupi hasa kwa ' Posts ' zako unaonekana ni Mwanamke ' uliyetendwa ' vilivyo na Wanaume Kimahusiano. Pole sana Dada!
 
Back
Top Bottom