GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,054
- 107,538
Hatimaye Muuaji wa Mwanadada Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya Marehemu Ivy Wangechi Bwana Naftali Kinuthia amesema kwamba alifikia hatua hiyo ya ' Kumuua ' huyo Dada baada ya Kuona / Kugundua kuwa ' Uwekezaji ' wake mkubwa hasa wa ' Kifedha ' aliouweka kwa huyo Dada ulikuwa ni mkubwa sana lakini hakupa ' Upendo ' ambao alikuwa akiutegemea kutoka Kwake zaidi tu ya kila Siku kuona ' Dharau ' zinazidi Kwake.
" Haiwezekani Mwanamke namhudumia kwa kila Kitu tena kuliko hata ninavyomuhudumia Mama yangu Mzazi na Ndugu zangu halafu wala hanijali na kunionyesha dharau na kiburi zaidi ananisaliti na Mwanaume mwingine ambaye hata hanifikii Kipesa huku akiwa anamuhudumia kwa Pesa zangu hizo hizo. Inauma sana na kama ningeujua mapema Moyo wake kuwa hakuwa na nia nami wala Upendo nisingepoteza Pesa zangu zote zile Kwake. Sijajutia Kitendo changu cha Kumuua na hili najua linaweza kuwa Fundisho kwa Wanawake wengine kote duniani kuwa Wanaume hatupendi kufanywa Wajinga na Wapumbavu " alisema ' Bwana Muuaji ' Naftali.
Ila kuna Wanaume wengine ni ' Mabwege Nazi ' kweli kweli Wewe unajitoaje Kumhudumia Mwanamke hivi wakati muda wake mwingi huwa hakai nawe halafu hata Mazingira aliyopo yana kila dalili kuwa huko mbele atakubadilikia tu na kuwa na Wasomi wenzie?
Hivi GENTAMYCINE anavyosema na kuwaambia kila Siku hapa kuwa msipoteze muda wenu kwa Kuoa bali wekezeni sana katika ' Chapa Ilale ' tu au Kununua tu ' Mbunye ' zilizopo sehemu mbalimbali huwa hamnielewi? Oneni sana mnavyokuwa ' Mapopoma ' na mnaishia ' Kuua ' hovyo na hatimaye nanyi pia mnaishia Jela kwenda ' Kuozea ' huko maisha.
Nawasilisha.
Chanzo Taarifa: Citizen TV Kenya.