Akina Dada / Wanawake msipobadilika upesi mtachomwa sana Visu, Mtapigwa na hata kuzidi Kuuliwa na Wanaume kila Uchao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,858
2,000
Hatimaye Muuaji wa Mwanadada Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya Marehemu Ivy Wangechi Bwana Naftali Kinuthia amesema kwamba alifikia hatua hiyo ya ' Kumuua ' huyo Dada baada ya Kuona / Kugundua kuwa ' Uwekezaji ' wake mkubwa hasa wa ' Kifedha ' aliouweka kwa huyo Dada ulikuwa ni mkubwa sana lakini hakupa ' Upendo ' ambao alikuwa akiutegemea kutoka Kwake zaidi tu ya kila Siku kuona ' Dharau ' zinazidi Kwake.

" Haiwezekani Mwanamke namhudumia kwa kila Kitu tena kuliko hata ninavyomuhudumia Mama yangu Mzazi na Ndugu zangu halafu wala hanijali na kunionyesha dharau na kiburi zaidi ananisaliti na Mwanaume mwingine ambaye hata hanifikii Kipesa huku akiwa anamuhudumia kwa Pesa zangu hizo hizo. Inauma sana na kama ningeujua mapema Moyo wake kuwa hakuwa na nia nami wala Upendo nisingepoteza Pesa zangu zote zile Kwake. Sijajutia Kitendo changu cha Kumuua na hili najua linaweza kuwa Fundisho kwa Wanawake wengine kote duniani kuwa Wanaume hatupendi kufanywa Wajinga na Wapumbavu " alisema ' Bwana Muuaji ' Naftali.

Ila kuna Wanaume wengine ni ' Mabwege Nazi ' kweli kweli Wewe unajitoaje Kumhudumia Mwanamke hivi wakati muda wake mwingi huwa hakai nawe halafu hata Mazingira aliyopo yana kila dalili kuwa huko mbele atakubadilikia tu na kuwa na Wasomi wenzie?

Hivi GENTAMYCINE anavyosema na kuwaambia kila Siku hapa kuwa msipoteze muda wenu kwa Kuoa bali wekezeni sana katika ' Chapa Ilale ' tu au Kununua tu ' Mbunye ' zilizopo sehemu mbalimbali huwa hamnielewi? Oneni sana mnavyokuwa ' Mapopoma ' na mnaishia ' Kuua ' hovyo na hatimaye nanyi pia mnaishia Jela kwenda ' Kuozea ' huko maisha.

Nawasilisha.

Chanzo Taarifa: Citizen TV Kenya.
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,311
2,000
Hatimaye Muuaji wa Mwanadada Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya Marehemu Ivy Wangechi Bwana Naftali Kinuthia amesema kwamba alifikia hatua hiyo ya ' Kumuua ' huyo Dada baada ya Kuona / Kugundua kuwa ' Uwekezaji ' wake mkubwa hasa wa ' Kifedha ' aliouweka kwa huyo Dada ulikuwa ni mkubwa sana lakini hakupa ' Upendo ' ambao alikuwa akiutegemea kutoka Kwake zaidi tu ya kila Siku kuona ' Dharau ' zinazidi Kwake.

Nawasilisha.
Na kuwachoma kisu ndio dawa yao mkuu

Cc Zero IQ
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,353
2,000
Hii ina ukweli,ila kuna baadhi ya wanaume wana tabia ya kulazimisha mapenzi kwa kutumia pesa,mtu hakutaki lakini wewe unachofanya ni kuinject pesa za kutosha mpaka mwanamke analazimika kukubali wakati kiuhalisia hauko moyoni mwake,sasa hii nayo kwa sisi wanaume saa nyingine ni shida,kiufupi ni kuwa penzi halilazimishwi kwa pesa...
 
Nakubaliana nawe kwa hili kwani hata Mimi kuna Mwanajeshi Mmoja hadi hii leo anasema kuwa nina Uchawi / Ndumba kisa tu kwamba kuna Demu mmoja Yeye ' Kamhonga ' kwa Pesa nyingi huku akimnunulia Vitu vingi vya Thamani na hadi kumtoa ' Out ' katika Kumbi mbalimbali hapa Dar es Salaam kwa miezi kama Mitatu hivi mfululizo lakini ' Mbunye ' yake hajaiona ( namaanisha hajalala nae / hajafanya nae Mapenzi ) ila ' Mwanamume ' kwa jinsi nilivyobarikiwa na ' Propaganda / Uwongo ' tena uliotukuka nilimtongoza huyo Demu kwa dakika 45 tu na baada ya dakika 90 baadae akauchezea ' Mkuyenge ' wangu ( namaanisha nikalala nae ) na nilichomfanya Siku hiyo Kitandani ndiyo alizidi Kunipenda na Kunikubali ila kwakuwa Mimi GENTAMYCINE ni ' Choka Mbaya ' hasa ' Kiuchumi / Kipesa ' nikaona nikiwa nae atanisumbua na kunifanya ' niibe ' bure ili nimtimizie Mahitaji yake hivyo nikamtafutia sababu kwa Makusudi ili tugombane tu kisha nipate nafasi na Kuachana nae na kweli ikawa hivyo hivyo. Dume zima unatongoza Mwanamke kwa miezi mitatu na Kuhonga ' Mihela ' tele lakini hupewi ' Mbunye ' ila Watoto wa Mjini ndani ya Masaa mawili tu tunamaliza Kazi.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,858
2,000
Mwanaume wa dizain hio ni mjinga wa akili

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisa Mkuu nakubaliana nawe. Hivi Wanawake kama akina kapeace unaweza ukawawekea dhamana hivyo na Kujitoa kabisa Kuwahudumia? Ana bahati sana huyu Mwanaume ' Bwege Nazi ' Muuaji Naftali yuko Kenya ila angekuwa Tanzania na hapa Dar es Salaam ningemtafuta huko Gerezani aliko kisha nimpige bonge la Bao ( Kibao ) kwani ni ' Popoma ' aliyetukuka kabisa.
 
Noelia

JF-Expert Member
May 26, 2017
12,557

Mi nikoje kwani?

Upowekeza kwenye mapenzi utegemee faida ama hasara

Faida ni kupendwa

Hasara ni kufanywa mjinga kama hivyo na uwe tayari kupokea kati ya hayo mawili

Usipoyapokea ndo matokeo yake kuuana na kuumizana tu

Kivyovyote mapenzi tusiyachukulie kirahisi rahisi....tena vichwa ngumu kama wewe yakiwakuta mnalia hata kujiua

Yangu macho

Siwezi kuapia chochote katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Mimi ni ' Kichwa Ngumu ' Mkuu?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,858
2,000
ukiweka pesa n mapenzi ,wnawake wengi watchagua pesa so nikuishi nao kw akili tu ili usij kuishia nyuma y nondo kam uy jmaa apo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata hapa Kwetu nchini Tanzania tunao pia Wanaume ' Mabwege Nazi ' wengi tu kama huyu ' Muuaji ' Naftali. Nani aliyekuambia kuwa Mwanamke ambaye hata bado ' hujamuoa ' unatakiwa umhudumie hivyo kwa ' Mihela / Mipesa ' yote hiyo? Ndiyo maana Mimi huwa napenda kweli ' Kugombania ' Mwanamke na Mwanaume mtoa ' Pesa ' hovyo ili nimuonyeshe kuwa ' Kuhonga ' hovyo siyo Kibali / Tiketi ya Kuvuliwa ' Chupi ' na Mwanamke bali ni upangiliaji wako mzuri tu wa ' Propaganda ' za Kimahaba ndizo zitakusaidia na kukufanya Uwalale / Uwabandue Wanawake wengi hadi uwachoke na wala huwapi au huwagharamii chochote kile.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,858
2,000
Yaan ni hv ww unanipa hizo swaga zako ile ule tunda
mfano- nataka nikupe maisha mazuri, tusema umeajiriwa mm sitaki uajiriwe nakupa mtaji ujiajiri, au umejiajiri ngoja nikuongezee pesa ukuze biashara yako na mengine kadharika lakini hayo uyasemayo hakuna hata zile dalili za kuonesha yatatimia yaani ww blaa blaa tu lakini hata moja hutimizi. Ukikutana na watoto wa mjini kama mm hupati tunda mpaka nione vitendo.

Sipo hvyo ila hii kwa wale Wanaume wenye blaa blaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Wenzako walikuwa na ' Nyodo ' kama hizi zako ila mpaka leo hawajui nilitumia mbinu gani ' Kali ' hadi ' nikawakojolea ' na sasa hivi wamekuwa Wapole kweli Kwangu na Wao ndiyo sasa hunitaka ' nikawabandue ' na Mimi bila hiyana wala choyo ' nawabandua ' kweli japo Wote ni Wake za Watu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom