Akina dada wadogo kiumri lakini matiti yamelala..

Nadhani ni maumbile na lishe za siku hizi, lakini ni kama vile una chembe za UKWARE kwa mbaali. Hii ni kutokana na moja ya sentensi zako ktk kutuelezea hili.

Inasemekana pia kuna muhusiano ya moja kwa moja kati madhara ya madawa ya urembo wanayotumia wasichana(kama relaxer ambayo in amercury) na kulala kwa matiti yao.

Pia inategemea na aina ya matiti,yael yaliyochongoka na marefu kuelekea mbele ,hulala mapema........yale ya duara,si marefu sana huchelewa kulala n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom