Akina dada wadogo kiumri lakini matiti yamelala..

hayakuumbwa kwa ajili ya show off bali kwa ajili ya kunyonyesha watoto wachanga,shida iko wapi hata kama yako kwenye miguu???

Mh!!!!!! Hapo nakubaliana na wewe ila Wababa pia huwa wananyonyaga ilhali wakijua maziwa haya toki sanasana wanalegeza misuli ya maziwa!!!!!
 
hahahahaha,a 10yrs old gal today is 15 years older!
Vyakula,sana sana
 
Mtego wa Noti, Siyo rahisi Lizzy akauona umuhimu maana yawezekana masaa 24 , siku 7 kwa wiki anazunguka nayo kifuani kwake , hivyo siyo resource adimu kwake. LOL

Hahahahaha asante Ngoko!You made my day!
 
si ni bado wadogo? yanatakiwa yasimame wima mpaka pale watakaponyonyesha...mbona mnashindwa kuelewa jamani?

kwani kunyonyesha ndio kuanguka??? Inategemea na maumbile ya mtu bana. Kila mada mwanamke tu na sie tutauliza mbona wanaume wengine hawana manyoya na ndevuu?
 
Mkuu naona kama hii thread imekaa kizalilishaji, kinachodiscuss siwa hapa kingeweza kuwekwa kwa namna nyingine na ikakaa kiungwana zaidi, e.g kwa nini kuna mmomonyoko wa maadili kwa wababa na wakaka hasa kuharibu watoto wa wadogo wa shule za msingi? kumbuka kuwa hapa una discuss matiti ya wadogo/watoto zetu bila kusahau hao mnaowalalamikia wameyafanya yawe yalivyo wanaharibu pia njia za haja kubwa za watoto/wadogo wetu kwa kuwalawiti. Tungeweza kuwalaumu dada zetu kwa kufanya plastic surgery na kujaza maji kwenye chuchu zao na sio ku-mock hao ambao pengine hata mleta mada amewahi kuwarubuni kwa vijisenti. I stand to be corrected
 
ningekugongea thanx ila nipo via mobile.
 
Moja ya sababu ni kwamba hao mabinti wadogo wanafanya au wanafanyiwa matendo mengi kabla ya muda muafaka ambayo huzimua growth hormones na kuwafanya waonekane kuwa mbele ya wakati.
 
Mh!!!!!! Hapo nakubaliana na wewe ila Wababa pia huwa wananyonyaga ilhali wakijua maziwa haya toki sanasana wanalegeza misuli ya maziwa!!!!!

yeah ni matamu sana ingawa hayatoki ila yana raha yake
 
Lizzy heshima mbele,
hili ni swala la mhimu kabisa wala halihitaji kuja juu na hasira, muuliza swali natumaini hana nia mbaya ila anachoongea ni ukweli kabisa, ingawa ukweli huwa una uma.
Hapa unakuta kisichana kidogo kabisa kimeshaangusha matiti.... hapo kuna tatizo , msitake kusingizia maziwa ni ya watoto wachanga wakati hivyo visichana hata kuolewa bado ni ndoto.
Kudharaudharau kila mada inapokuja eti kisa inadhalilisha wanawake hatutafika kokote, kwani wewe kama mwanamke ndio unayehitajiaka kujua tatizo ni nini na liko wapi , ili pindi ukiwa na watoto wakike ujue jinsi ya kuwalea.Hpa ni maadili zaidi.
 
hili ni swala la mhimu kabisa wala halihitaji kuja juu na hasira, muuliza swali natumaini hana nia mbaya ila anachoongea ni ukweli kabisa, ingawa ukweli huwa una uma.
Hapa unakuta kisichana kidogo kabisa kimeshaangusha matiti.... hapo kuna tatizo , msitake kusingizia maziwa ni ya watoto wachanga wakati hivyo visichana hata kuolewa bado ni ndoto.
Kudharaudharau kila mada inapokuja eti kisa inadhalilisha wanawake hatutafika kokote, kwani wewe kama mwanamke ndio unayehitajiaka kujua tatizo ni nini na liko wapi , ili pindi ukiwa na watoto wakike ujue jinsi ya kuwalea.Hpa ni maadili zaidi
 
Mtego wa Noti, Siyo rahisi Lizzy akauona umuhimu maana yawezekana masaa 24 , siku 7 kwa wiki anazunguka nayo kifuani kwake , hivyo siyo resource adimu kwake. LOL

hapo umenena..inawezekana kweli kwake siyo kitu adimu...hahahahahah.........
 
Mada hii imekaa vizuri. Tunahitaji utafiti zaidi. Ni kweli kwamba zipo sababu mbalimbali, kama vile: vyakula vya protein nyingi zinazochochea homoni za kike kukua haraka. Pili yake ni suala la kujiingiza katika mapenzi katika umri mdogo halafu mwili uka-respond kwa kufuatana na mazoezi ya kimwili...sex. Tatu ni sawa na hii, nayo ni kuyanyonya. Kwa hiyo ni sababu nyingi tu, na wenzangu mwaweza kuongeza nyingine.

Hakuna haja ya kukasirika make tunajaribu kutafuta chanzo na SIYO udhalilishaji wa mwanamke, ni mada tu ndani ya somo la Biolojia, tusiikwepe.
 
umenena mallaba...hivi nikitaka kukugongea li-thank you, nagonga wapi vile?....nielekeze nkugngee aloooo!!!
 
tatizo watu tunaogopa kuwa wawazi ili kupata solution y haya matatizo...asante kwa ufafanuzi zaidi. nielekeze nigonge wapi ili nikugongee li-thenk yu
 
tatizo watu tunaogopa kuwa wawazi ili kupata solution y haya matatizo...asante kwa ufafanuzi zaidi. nielekeze nigonge wapi ili nikugongee li-thenk yu
Hiyo solution ni kwa faida ya nani haswa?Nyie ndo wale mnaosukuma wanawake kubadili mionekano yao kwa kujichubua na kufanyiwa maupasuaji wasiyohitaji n.k!!Kama kuna watoto wa umri unazongumzia wamepata nafasi ya kupitia hii thread lazima utakua umewaibia confidence na self-esteem yao kwa kiasi fulani!!
 
hahahaa chief! wewe ni kiboko kwa "uchunguzi" aisee!
 
Na utoaji mimba unachangia kwa kiasi kikubwa matiti kulala, n.k ............................

Nawasilisha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…